ni ipi dhambi iliyo ndogo na ipi ni kubwa.hao wasafi waliowahi kuchaguliwa wametufikisha hapa kwenye kafsha zisizo na idadi za kifisadi na kwa sasa sifa ya usafi haitoshi tumpe mchawi mtoto atulelee.Mtikila naye ni mnafiki kwa nini alete huu uzushi kipindi hiki kama hajala pesa ya mafisadi wa ccm.kwa sasa ni zamu ya mtu mwenye sifa ya mwizi kupewa nchi kwani wasafi walishashindwa.