Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ye mwenye uwezo wa kutambua dhambi za watu ni msaidizi wa Mungu au ni malaika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii station ya Star TV kwa kweli nadhani ina vilaza wengi sana,huwezi kumuokota mtu alafu ukamleta aje atukane wengine tena pasipo na ushaidi wowote,mi nachoomuomba mzee Mtikila ajue tu kwamba yeye na walio mtuma hawauziki na watu wanawaskiliza na kuwapuuza sasa hawana jipya.
sisi tunamtaka ivo alivyo, ili tuandike historia, kwani mpaka ulaya wafanye ndo tuige?!
Si aende mahakamani, ccm bana wanatumia hadi mataahira kushawishi! hatudanganyiki ni Lowassa tu.
Mbona mahakama ilibaini kifo cha Wangwe kilitokana na uendeshaji WA kasi hadi dereva akafungwa jela. Kama Mtikila alikuwa na ushahidi mbadala na ule WA mahakamani, aliukalua kwa sababu gani hadi mtoto WA watu akafungwa jela? Uchungaji hapa uko wapi au ndo mkumbo WA padri Slaa?Mchungaji Mtikila amezidi kusisitiza kuwa wahusika wakuu wa kifo cha Chacha Wangwe ni viongozi wa chadema, ushahidi anao na muda wowote ushahidi huo ukihitajika ataufikisha mahakamani.
Ni kuanzia saa 1:30 atakuwa akiongelea mwenendo wa kampeni na harakati za uchaguzi, stay tuned.