strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Haya majitu kama mtikila huwa yana niudhi yani yenyewe yana furahia watanzania kuendelea kuteseka chini ya serikali ya ccm yamegeuza tanzania kuwa nchi ya kitu kidogo, ila Mungu yupo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiongea startv tuongee asubuhi leo, anasema aliitwa apewe tsh. Mil 100 na kwamba alipangiwa kuuawa. Amemtaja muuaji wa Chacha wangwe. Dah katonesha pabaya kweli.
Tutampigia MAGUFULI.Maerhemu Chacha wangwe alikufa au uliuawa lini?
Hapakuwa na haja ya kuwataja waliomuuwa hadi Lowassa kuingia Chadema na kugombea urais?
Kama Mtikila aliujua ukweli huo miaka yote na hakusema je si mshirika wa waliohusika
Kanisa lake liko mnazi mmoja lina waumini saba, kila jumapil wanapika msosi ili kuvutia watu wahudhurie.
Hell no! Ukawa this is too much! Kila anayetofautiana na Lowasa basi kanunuliwa!? Ina maana hakuna tena mtu kuwa na mawazo huru against that guy!?
Ni mchungaji kama Gwajima vile makanisa Uchwala ila tofauti Mtikila hayupo Ukawa ndiyo maana anaonekana ana kanisa la kupika chakula cha waumini saba. mtikila alitisha Taifa zaidi ya Lowasa alikua anajaza nyomi pale Jangwani kuliko ya kiongozi yeyote TZ. wakati mtikila analalamikia wezi wa mali ya umma kina Lowasa sumaye na kikwete walikua wanaiba serikalini. Leo ati Lowasa anaonekana ana uchungu sana na taifa la Tanzania kumshinda Mtikila.
Duh kweli nimeamini manabii wa Uongo wakija mambo yatabadilika hata Yesu hatatambulika tena
Na watanzania tusimdharau Mtikila maana Nyerere alisema ukusikia chizi ama kichaa anasema kitu msikilize lazima atakua ameona kitu hawezi kuropoka tu
Huyu jamaa anaishi kwa kesi mjini. Kesi ndio zinamuweka mjini. Huku Posta tunamuonaga anatembea na Bajaji tu deile. Ukimuitia kesi anakuja fasta bila kuchelewa ila ukimuitia maombi lazima azingue. Tehe tehe tehe.
Star TV ni kama choo cha stendi kila MTU anaingia na kuacha uchafu wake bila kujali kala nini huko atokako. Wakati kama huu kuelekea uchaguzi vituo vya Radio na Tv huwa vinaendeshwa kwa weledi mkubwa ili kutokusababisha hali ya sintofahamu. Hivi Startv hawajui kuwa Wangwe alikuwa na familia na inao uchungu na mzazi wao? Kama mtu anao ushahidi wa mauaji huwa unapelekwa studio au polisi?
Hivi mtu akijitokeza huko na kumvamia Zito au Dr Slaa na kumchoma kisu na kumuua na utetezi wake ukawa kuwa Wangwe ni ndugu yake na amemlipia kisasi kwani kasikia Startv kuwa hao ndio walopanga kumuua jee kituo hakita wajibika?
Sahara media kwa kweli ni wapuuzi sana,hawatumii weledi bali wanatumika kama vile vituo vya Rwanda wakati wa genocide