Ni kuanzia saa 1:30 atakuwa akiongelea mwenendo wa kampeni na harakati za uchaguzi, stay tuned.
Kama ameua apelekwe mahakamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kuanzia saa 1:30 atakuwa akiongelea mwenendo wa kampeni na harakati za uchaguzi, stay tuned.
Mada ya mchungaji mtikila leo ktk kipindi cha Tuongee-Star Tv, imenikumbusha ile hadithi ya 'mfalme mbona yu uchi mama?' Tunaomba irudiwe mara kwa mara kwa mara kwa mara kwa mara.
Bila kigugumizi kaongea ukweli mtupu juu ya wagombea wetu na kilicho nyuma ya pazia ktk ugombea urais wa Lowassa.
teh teh teh. nina njaa nitakwenda j'piliKanisa lake liko mnazi mmoja lina waumini saba, kila jumapil wanapika msosi ili kuvutia watu wahudhurie.
Kila siku nawakumbusha blunder ya karne waliofanya UKAWA kwa kumweka mtu mgeni kabisa kwenye medani za UPINZANI ugombea URAIS,halafu mnaendelea kijidanganya kwamba huyo ni mwenzenu, opposition parties have nothing in Common na Mh.Lowassa hata body language between Mbowe na Lowassa inaonyesha wazi wazi ni poles apart kila mtu ana ajenda yake ya siri ya kumtumia mwenzake kwa lengo maalum,wakishindwa uchaguzi (which is obvious) kila mtu atakwenda njia yake waki-lick their wounds,wote hao ni waigizaji hakuna mwenye ubavu wa kumshinda JPM.UKAWA bila Lowasa ilikuwa njema sana. Mkubali kuwa mmeharibu sana kumweka Lowasa ugombea urais. Kwa watanzania kumfanya awe rais wetu haitotokea kamwe.
Ni kuanzia saa 1:30 atakuwa akiongelea mwenendo wa kampeni na harakati za uchaguzi, stay tuned.
Watu wengine wa ajabu sana,unakwenda kanisani kumsikiliza huyu mtu kweli? Kikweli mtikila kesi hizi ndo mradi wake apuuzwe tu.kama anajua cdm walimuua wangwe kwa nini alikuwa kimya muda wote huo,jamaa ni mhuni sana.
Akiongea startv tuongee asubuhi leo, anasema aliitwa apewe tsh. Mil 100 na kwamba alipangiwa kuuawa. Amemtaja muuaji wa Chacha wangwe. Dah katonesha pabaya kweli.
Ni kwa sababu anataka kuingia ikulu. Vinginevyo nani angehangaika naye. Tumia akili mzee. Hela za katiba wabunge wote wamepiga. Nani asiyepiga. Tumia akili mzee.kuna mbunge yoyote hata makamanda wetu ambae alikataa kuchukua. Tena baada ya kuona fedha zinakaribia kuisha wakajifanya kususia bunge. The last last minute. Ni usanii mtupu hatuwezi kuukubali na kuushabikia.Baada ya miaka 8? Alikuwa wapi mda wote huo? Na kwanini hajakusanya huo ushahidi miaka yote hiyo? Kapiga hela zetu za katiba! Angekuwa mzalendo kweli angezikataa..at least achukue tu living allowance
Mtikila keshazidiwa kete na Twaweza na Synovate katika kumzima Lowasa. Lowasa hana zaidi ya asilimia 35 za kura katika uchaguzi akitimuliwa vumbi kwa mbali na Magufuli mwenye zaidi ya asilimia 63 au 69 (kwa vigezo vya CCM). Nategemea kwa mashabiki wa CCM na Magufuli na wale wenye kuugua sana kuhusu hatari ya Lowasa kutinga Ikulu, huu ni wakati muafaka wa kula bata na kumnadi taratibu Magufuli (sijui na CCM?) ili aendelee kuteleza hadi ndani ya kasri la mjerumani. Kuhangaika na Lowasa hakuna tija tena.