Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

Hzo nyimbo zenu tumezisikia sana na tumezipuuza sababu hao wanaomtuhumu Lowassa ndiyo mafisadi wakubwa, Lowassa lazima aende ikulu akaokoe taifa letu
 
Huyu Mzee kwa madili ni balaa!! lazima atakuwa kanusa harufu ya pesa somewhere!!
 
Anasema atampeleka Lowasa mahakamani kwa Richmond na Money laundering...Ana ushahidi wa pesa chafu...anasema wanakusanya ushahidi...mmh ....harufu mbayaas

Baada ya miaka 8? Alikuwa wapi mda wote huo? Na kwanini hajakusanya huo ushahidi miaka yote hiyo? Kapiga hela zetu za katiba! Angekuwa mzalendo kweli angezikataa..at least achukue tu living allowance
 
Ni vyema angesema aliyemsafi katika nchi ni nani ili tujue!!hauwezi sema pombe flani mbaya na usiseme pombe mzuri wakati zote pombe.
 

Attachments

  • 1443161461537.jpg
    1443161461537.jpg
    152.3 KB · Views: 519
Lowasa ni kiki ya wanasiasa wote wanaokaribia kufa.....mwanasiasa akikaribia kupotea na akitaka kufufuka ni lazima amshambulie Lowasa. Hapo uliyoonge yatarudiwarudiwa wiki nzima na Startv
 
Amesema Dkt Slaa na Zitto Kabwe ndio waliomuua Wangwe?
 
Amesema Maneno Yote Alioyasema Leo Anaenda Kuyasema Huko Mkoani Mara,nadhani Ana kumbukumbu Sahihi Ya Miaka Ya Nyuma!
 
Hakuna mwenye kusikia hajasikia.Mtikila anayosema ni mazito.sio ya kukwepa ili kujifurahisha.tusijiuze kwa peremende
Wote tumpe kura Magufuli
 
Huyu jamaa anamapenzi na taifa lake. Maana katoa angalizo kwa umma wajihadhari na kuchagua viongozi wabadhilifu kama Lowassa.
 
When jesus say yes nobody can say no,lowassa ndo raisi wa awamu ya tano utake usitake
 
Mchungaji Christopher Mkitila, akiongea na TUONGEE ASUBUHI kupitia Star Tv asubuh hii, amesema kuwa ni aibu sana IKULU kuifanya ICU ya Wagonjwa na mafisadi ambao wanataka kwenda kujifunzia pale, Lowassa ni mgonjwa hana uwezo wa kuwaongoza Watanzania kwa kuwa wapo watu wengi wenye Afya njema na hawana kashfa yoyote ya Ufisadi na maadili mabaya.

Akiendelea kuulizwa juu ya tathimini ya Uchaguzi kupitia Taasisi ya TWAWEZA amesema sio tatizo kwa maana tamwimu hazimlazimishi mtu kukipigia chama cha mapinduzi hivyo sio swala la msingi ila UKAWA sio sahihi kupewa Ridhaa ya kuwaongoza Watanzania.

Mchungaji ameendelea kusema kuwa Mficha maradhi kifo humuumbua, LOWASSA amekula pesa nyingi za Watanzania bila hofu hilo ndo tatizo lake sasa.
 
Wakati wakaskazini wakihangaika kuingia ikulu ili watawalemaana hawana chuma wala makaa ya mawe yeye yupo anapingana nao huku akiachia chumana makaa ya mawe kuchukuliwa na wawekezaji huku wakiacha waludewa hohehahe.Aende ludewa akagombee awakommboe ndugu zake aache siasa chafu.

 
Tutasikia mengi sana lakini tutamchagua lowassa. Jana kariakoo magufuli kala 15=2%
 
mwambie aende TARIME akayaseme hayo anayoyasema.atagongwa nyundo safari hii badala ya jiwe.
 
Mtikila ni msema kweli....tunaomjua hatumshangai


Hta hivyo kama anaushahidi wa hayo yote mbona anachelewa kwenda mahakamani jamani,

Vip ESCROW , meremeta , EPA na zile nyingie nyingi amezungumzia ana nae kawa kama walewale akina Dr Slaa na Prof Lipumba
 
Hehe siasa nyepesi siku zote alikuwa wapi? Kwanini asiende kufungua kesi mahakamani na huyu mzee anavyopenda kesi.
Ugonjwa wa Lowassa kaujuaje analeta propaganda hapa
 
Hivi hicho ndo watanzania wanataka. Kuna mgombea alimbaka dada yangu lkn yakaishia kwa wazazi niwakati wa upimaji wa barabara nanyumbu
 
Back
Top Bottom