Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiongea startv tuongee asubuhi leo, anasema aliitwa apewe tsh. Mil 100 na kwamba alipangiwa kuuawa. Amemtaja muuaji wa Chacha wangwe. Dah katonesha pabaya kweli.
ameeleza namna gari ya chadema ilvopaki ghafla na kpigwa kichwani.
source, startv
Mambo mengine tunaweka pending makusudi ohooo cyberlaw kaka.... Ila anaendelea kufunguka yote ya Cdm, Ukawa, Lowasa....yupo Star tv....
Hata wanyama wanaweza kua na busara katika maamuzi ila mtikila anashangaa wanaomshabikia EL ambaye ni mwizi na kwa uchafu alioufanya nchi hii kama ingalikua ni China angeshanyongwa muda mrefu sana,Awataka watanzania waache ushabiki.
Anaenda mbali zaidi alipozungumzia afya ya EL na kusema maradhi alionayo yanaathiri kichwani.
Kuhusu taarifa za tafiti zilizofanywa na TWAWEZA mtikila anamshukuru Mungu kwani wanomuunga mkono EL fisadi ni wachache.
Anaendambali kwakusema watu wanaomshabikia EL wanautahaira nusu(epedomia) anasisitiza watanzania tuwe makini na huyu fisadi.
Anasema ukiachilia mbali matatizo yao ni afadhali ya Magufuli awe raisi wa nchi.
Mfano anatoa mfano wa afya zao EL ni mgonjwa na hatuwezi geuza Ikulu kua ICU ya wagonjwa.Na anasema mficha maradhi mauti humuumbua na anasisitiza EL angejikita kwenye afya yake kwanza.
Anakumbusha wizi wa EL ambao alituongopea akaahidi kwenda kutununulia mvua na kutumia pesa nying na hatimae mvua yakununua ikawa ni uongo mtupu.
Duh sijui nani ktk serikali hii iliyopo asingeitwa Marehemu..so and so