Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

alipo tupo, lakini angekuwa fisiem ningempinga ile mbaya.

sasa sijui ni R.I.P au R.I.H

Shauri yake mwenyewe na Mungu wake aliyemtuma kutukana watanzania wenzie
 
Nniniisimba njo utupe tafsiri ya maandiko yako yaliyotimia.
 

Mimi nipo tayari kuingia motoni kama ikiwa ni kwa kumpa kura ya Ndio mh Edward Lowassa!!
 
DAAA..! NADHAN USHAID WA CHACHA ALIOKUWA NAO UMEMPONZA... kwa style ile ile iliyoondoa uhai wa chacha ndio hyo hyo imeondoa uhai wa mchungaj mtikila..
 
hata mimi mwenyewe sijui mkuu tamuuuuu, MUNGU yeye mwenyewe ajua sababu ndugu yangu. Imeniuma sana kweli ndugu yangu.
 
Ameondoka katika ulimwengu huu lakini mbegu aliyoipanda itaendelea kustawi na kustawi!
 
Hivi alikufa kwwli au ilikuwa siasa maybe aliamua kudanganya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…