UlipigwaMimi nimesoma na Paulo, ni Muislam na anatokea familia ya Waislam washika dini hasa, na hilo jina (Paulo) amepewa na wazazi wake.
Huwez kumtenganisha mtu na jina acha uswahil wewe ndie jina lako.Great Thinkers wanahusisha jina na dini. Maajabu.
huo ulikuwa mchongo me akibakwa na ke hiyo big up hata awe mbibi safi tu. Ampe ushirikiano kwa sababu haina madhara km jinsia ya kike!Kuna KE kafungwa maisha kwa kubaka katoto ka kiume,uzi ulikua humu na msimamk ule ule wale kitanzi tu mbakaji ni mbakaji tu
km demu akija kunibaka!! Mbona rahisi tu mie najibakisha nampa ushirikiano km wooote!! Halafu sisemi popote.....atakuja tena na tena kunibaka il nitajifanya km sitaki hivi...lkn nampa vizuri tu mbakaji wa kike!!......tena atanibaka bureeeee!Kuna KE kafungwa maisha kwa kubaka katoto ka kiume,uzi ulikua humu na msimamk ule ule wale kitanzi tu mbakaji ni mbakaji tu
Tanzania sio nchi ya KiarabuTembelea nchi za kiarabu wakristo wa kiarabu wana majina ya kiislamu,karibia wote ukiuliza wanasema,hawajawahi kuwa waislamu,ni wakristo toka asili ya mababu na mabibi.
Misri inaongoza kwa kula kitimoto Afrika .Acha kuwabagua ndugu zetuHawa wasukuma ndio wanatuharibia DINI YA KIISLAM, wanatumia majina ambayo kiasili hutumiwa na WAISLAM na hao ndio unakuta wala kitimoto na ujinga mwingi.
Nimesoma na akina SHABANI, HAMISI, JUMA, ABDALA nk wakristo na wala kitimoto. Nilikuwa nawaambia ukitumia hayo majina acheni kula vitu vya kipumbavu maana mnachufua dini nyingine kisa majina.
Alikuwa muislamu kabla?Bora angebaki tu kwenye Uislamu.
Sijui kwanini ali-retard.
Kule atakutana na kina nyanjige,nyambuli,kashindye, shinje, nyanso, nyankoma, nkLabda Kama unasemea Usukumani ya Mozambique,lkn Kama Ni hii ya Kanda ya ziwa then hakuna kitu Kama hicho.
Huyu ni maalimTushachoka wauwawe tu!!
Nurdin Abdallah na Ukristu wapi na wapi?
Si ndio nyinyi Wakristo huwa munawafundisha. Mmemuita huko kwa Dini yenu Matokeo yake mmempa Ujuzi kutoka kwa yule Padri wenu.Bora angebaki tu kwenye Uislamu.
Sijui kwanini ali-retard.
Si unaona wewe Mpuuzi, tushakupa majjibu kule naona bado unahangaika sana!! Na hiyo Ajenda yako.Jina linajieleza humu mchungaji hamna,halafu kuna ile story ya kwenye kitabu fulani kiongozi wa dini kuoa katoto ka miaka sita naona jamaa kachukua inspiration kule.
Mmemvuta Pastor huko kwenu ili Mumfundishe Kubaka[emoji23][emoji23][emoji23]Hilo jina mbona la kobazi? Majirani waligunduaje kwamba pasta wa mchongo anaharibu mwanaye?
dah uyu mchungaj auwawe2 haina jins
Mchungaji wa kanisa la kilokole Nurdin Abdallah, amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza kwa kosa la kumbaka kwa nyakati tofauti mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka sita.
Chanzo: EA Radio
====
Mchungaji Nurdin Mahakamani kwa kumbaka mtoto wake
Mchungaji wa kanisa la kilokole Nurdin Abdallah, amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza kwa kosa la kumbaka kwa nyakati tofauti mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka sita.
Ni Kesi namba 79 ya mwaka 2022, iliyosomwa na Hakimu Mkazi Mwandamizi Erick Kimaro, katika Mahakama ya wilaya ya Magu inamkabili Mchungaji huyo anayedaiwa kumbaka binti yake wa kumzaa baada ya kumchukua kutoka kwa mama yake waliyeachana.
Inadaiwa kuwa mchungaji huyo aliachana na mke wake mwezi wa saba mwaka huu na mwanamke huyo akaondoka na kwenda kuishi wilayani Bunda mkoani Mara ndipo mchungaji akaamua kuishi na binti yake ambae inadaiwa amekuwa akimuingilia kimwili mara kwa mara hadi majirani walipogundua jambo hilo na kuamua kumuhoji mtoto huyo na kuwathibitishia kuingiliwa kimwili na baba yake huyo.
Aidha baada ya majirani kugundua kwamba binti huyo amefanyiwa kitendo hicho cha udhalilishaji walimpeleka kituo cha polisi na kufungua kesi kisha wakapewa fomu namba tatu ya polisi na kumpeleka hospitali na baadae binti huyo alikabidhiwa kwa afisa ustawi wa jamii wakati kesi ikiendelea.
Na leo hii Oktoba 12, 2022, mshtakiwa huyo ambaye ni mchungaji wa kanisa la kilokole lililopo Kisesa amewakilishwa mahakamani na mdhamini wake Bernard Mashauri aliyedai kuwa mshtakiwa Nurdin Abdalah anaumwa sehemu zake za siri zimevimba na kupelekea kushindwa kutembea.