Mchungaji Nurdin Abdallah afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa miaka 6

Mchungaji Nurdin Abdallah afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa miaka 6

Hili wimbi la ubakaji mwezi huu vipi?[emoji848]
 
Kama unadhani dini Ni jina basi imekula kwako.
Mche Mungu, fanya matendo mema utaona mbingu. Ukijali jina na nini kinaliwa utakwenda kuchochewa kuni.
Hawa wasukuma ndio wanatuharibia DINI YA KIISLAM, wanatumia majina ambayo kiasili hutumiwa na WAISLAM na hao ndio unakuta wala kitimoto na ujinga mwingi.

Nimesoma na akina SHABANI, HAMISI, JUMA, ABDALA nk wakristo na wala kitimoto. Nilikuwa nawaambia ukitumia hayo majina acheni kula vitu vya kipumbavu maana mnachufua dini nyingine kisa majina.
 
Sasa huyu ana majina ya Kiislamu. Lakini anatumikia UKAFIRI.

Maana yake alikuaga Muislamu zamani halafu aka-retard (akaingia kwenye UKAFIRI) sijui nani alimdanganya!
Mkuu Kwahiyo huko kwenye uislam Ni kheri kubaka watoto wa miaka 6!!?
 
labda itakuwa masharti ya kumiliki nguvu za kutoa mapepo
 
Kanda ya ziwa wanatuchafulia dini yetu;watu wa ule ukanda wanayapenda sana majina ya kiislam lakini ni wala mdudu mchafu(nguruwe).
Nguruwe dhambi na haram kwko, ila zinaa ni???
 
Hawa wasukuma ndio wanatuharibia DINI YA KIISLAM, wanatumia majina ambayo kiasili hutumiwa na WAISLAM na hao ndio unakuta wala kitimoto na ujinga mwingi.

Nimesoma na akina SHABANI, HAMISI, JUMA, ABDALA nk wakristo na wala kitimoto. Nilikuwa nawaambia ukitumia hayo majina acheni kula vitu vya kipumbavu maana mnachufua dini nyingine kisa majina.

jina lafaa nini dini yako!!!

waislam wanapojihesabu huhesabu majina na kusema tuko idadi hii,inapokuja matendo ya hovyo utakutana na hadiith kama hizi zako.

amin amin nawaambieni,ni unafiki tu utawaangamiza siku ya kiyama sio dhambi nyingine.
 
Hiyo kenge itakuwa ndugu yake na Maghayo inakuja kuharibu jamii kwa kutumia ukiristo wake..
 
Back
Top Bottom