Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.

Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu dhidi ya takwimu za Mtumishi wa Mungu Mpakwa mafuta Mchungaji peter Msigwa.

Screenshot_20241106-094457_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Soma hapa👎View attachment 3144950

Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu

Msigwa hapendwi kwababu ya kusema ukweli tu 🤣
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.

Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu dhidi ya takwimu za Mtumishi wa Mungu Mpakwa mafuta Mchungaji peter Msigwa.

Soma hapa👎View attachment 3144950

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
CHADEMA WANAPUMULIA MASHINE WAKO HOI TAABAN
 
Msigwa ana shida ya akili na kinachompa Convulsions ni ile hali ya kuikataa CMD ili hali iko moyoni, hali anayoipitia ni sawa kabisa na ile ya kujaribu kumsahau Ex ambae bado unqmpenda.

Zingatia: ccm vs CHADEMA.
Yaani anathibitisha ukuu wa CHADEMA kwa herufi kubwa huku akiidogodesha ccm kwa herufi ndogo kabisa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.

Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu dhidi ya takwimu za Mtumishi wa Mungu Mpakwa mafuta Mchungaji peter Msigwa.

Soma hapa👎View attachment 3144950

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
wanachama laki nne tu ndio walifanya polisi wakaandamana na magari yao, wanachama laki nne tu ndio wanafanya mnakimbia na fomu za wagombea hahahah yaani wanachama lak nne tuu ndio wanafanya kila kukicha mnaacha mambo yenu kwa ajili yao, maana akisema mmoja mnamjibu 10,

Nimewaza tu Bwana Lucas mutu ya mbozi
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.

Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu dhidi ya takwimu za Mtumishi wa Mungu Mpakwa mafuta Mchungaji peter Msigwa.

Soma hapa👎View attachment 3144950

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nmeshangaa anajiita kada wa CCM! Mzee hata mwaka hana kwenye chama anajiita kada🤣
 
Back
Top Bottom