Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
thubutu yake ni mkumbushe tu, the better the man is the worse is thought by his rival, mikiki yote hiyo mpaka CCM kumchukua na kumtumia kama condom wanaojua tishio lao lipo wapi.
 
J
Joni sasa unachemka, kwahiyo kama Chadema ina wanachama wengi kuzidi kondoo wa mch. Msigwa, huo ni uthibitisho kuwa Chadema ina wanachama wengi nchini?
Muhimu ni Wafuasi ambao Kimsingi Chadema inao wengi tu

Uanachama ni Kwa wale Wenye Malengo ya kusaka ajira Kwa mlango wa Siasa

Kuandikisha Wanachama Siyo swala la kihuni huni kama alivyoanzishaga Mrema KADI za Papo Kwa Hapo 😃

Angalia Mwamposa ana Waumini wangapi na Wafuasi wangapi ndio utanielewa

Trump kashinda Kwa sababu ya Wafuasi kwani Wanachama walishamkataa walio wengi kwenye Kura za maoni

Ulale Unono 😃😃
 
Ni hatari sana njaa ikihama toka tumboni na kuhamia kichwani.Huyu jamaa zimeshamruka
 
Ni hatari sana njaa ikihama toka tumboni na kuhamia kichwani.Huyu jamaa zimeshamruka
Huyo ni Mbunge mstaafu aliyepokea kiinua mgongo cha takribani Millioni 272 mwaka 2020. Pia alipokea kiinua mgongo mwaka 2015. Sasa njaa inatoka wapi hapo?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.

Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu dhidi ya takwimu za Mtumishi wa Mungu Mpakwa mafuta Mchungaji peter Msigwa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Peter Msigwa alitekwa akalawitiwa na kurekodiwa na kulazimishwa kujiunga CCM na kazi aliyopewa ni kuisema vibaya tu Chadema na asipofanya hivyo wanavujisha video alivyokuwa anapigwa mashine.
 
Peter Msigwa alitekwa akalawitiwa na kurekodiwa na kulazimishwa kujiunga CCM na kazi aliyopewa ni kuisema vibaya tu Chadema na asipofanya hivyo wanavujisha video alivyokuwa anapigwa mashine.
Ukichaa umekupanda kichwani mwako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.

Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu dhidi ya takwimu za Mtumishi wa Mungu Mpakwa mafuta Mchungaji peter Msigwa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha ungese
 
Msigwa kama uchungaji wako ulijipa mwenyewe hongera!
Kama kuna mtu alikupa atakuwa "alitoroka Mirembe!"
Watumishi wa kweli wa Mungu sio wanafiki kwa kiasi chako!
 
Back
Top Bottom