Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.

Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu dhidi ya takwimu za Mtumishi wa Mungu Mpakwa mafuta Mchungaji peter Msigwa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sasa ni dhahiri Msigwa karukwa na akili
 
Bila shaka anamaanisha idadi ya chawa alikopata usajili imefikia kiwango hicho,ama na kosea Luca.?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.

Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu dhidi ya takwimu za Mtumishi wa Mungu Mpakwa mafuta Mchungaji peter Msigwa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
hela tamu sana ujue, wengine wanakula za usajili, wengine upande mwingine wanalamba asali, hakuna wa kuchekana. na hapo hakuna wa kumcheka mwenzie, tuseme nani msaliti hapo sasa, yule anayewasaliti wanachama wake kila siku au yule aliyeona si vizuri kuendelea kusaliti kwa kujificha bora nivae sura yangu halisi. who is better? changanya na za kwako.
 
Yaani CCM kutwa kuchwa mnawasema CHADEMA utafikiri CHADEMA ndo chama tawala halafu nyinyi ndo wapinzani.
CCM nyinyi ni chama tawala - jibuni kwa wananchi - acheni CHADEMA wawakosoe nyinyi na nyinyi wajibuni kwa vitendo...kwa kuwaletea wananchi maendelea.
Suala la CHADEMA kuwa na wanachama 400,000/= linatusaidia nini katika kutatua changomoto zetu..
Halafu nyie mnataka wawe wengi ama???
 
Huyu Msigwa ili apewe posho na CCM , inabidi aitajetaje tu CHADEMA ili wamkumbuke kuwa yupo ! Asipofanya hivo kitumbua chake kitaingia mchanga ! Tumsamehe bure tu si akili zake hizo
 
Sasa kama ni hivyo kwanini mnatumia Mapolisi na Wakurugenzi na Tume kuiba hizo Kura laki nne?!🤔 inashangaza sana.
 
Msigwa angejikita kusema mema ya CCM badala ya kuzua hoja za kipumbavu zinazofanya wanaCCM tuonekane hatuna akili. Hata kama CHADEMA wana wanachama laki nne lakini wanaokipigia kura ni zaidi ya hao. Kwenya kura za urais Mwaka 2005 mmiliki wa CHADEMA, Sultani Mbowe alipata kura 668k, mwaka 2010 hawara wa Bi Mushumbusi, Dr Slaa alipata kura 2.2m na mbelgiji Lissu alipata kura 1.9m

Msigwa kaishiwa hoja kiasi kwamba analazimisha kuropoka mambo ambayo hata wanaCCM tunashangaa. Mbona kina Silinde na wanachadema wengine waliohamia CCM hawana hoja za kipumbavu na mamlaka zinawaamini na kuwateua? Huyu Msigwa tatizo lake nini?
 
Yeye ni mwanachama wa ngapi katika hao laki nne?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.

Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu dhidi ya takwimu za Mtumishi wa Mungu Mpakwa mafuta Mchungaji peter Msigwa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Kama umeenda CCM kwanini usijali idadi ya wana CCM? Huyu huyu alisema mfumo ni wa Kenya mara mfumo wa Mbowe sasa leo anajifanya anajua mfumo. Wata flash uchawa wake kama Masilingi
 
Back
Top Bottom