Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Wewe endelea na CHADEMA yako chama na genge la kitapeli huko.Acha Mtumishi wa Mungu aendelee kuongea ukweliMchungaji Msigwa zungumza mema ya CCM achana na Chadema hao wanachama Laki 4 siyo wachache
Kwani wewe Kanisa lako lina kondoo wangapi? 🤣
Wewe ndiye pepo unayehiyaji Maombi.Toka ahamie huko keshakuwa Pepo uchungaji ulimtoka siku anaamua kujiunga na mashetani.
CHAWA wenye Thamani wako Marekani muda huu wewe umesahauliwa mashambani huko unalewa Kimpumu 🤣🤣Wewe endelea na CHADEMA yako chama na genge la kitapeli huko.Acha Mtumishi wa Mungu aendelee kuongea ukweli
Msema ukweli ni mpenzi wa MunguNdugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.
Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu dhidi ya takwimu za Mtumishi wa Mungu Mpakwa mafuta Mchungaji peter Msigwa.
Soma hapa👎View attachment 3144950
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Una mbwembwe na utani sana na mimi wewe mzee😀😀CHAWA wenye Thamani wako Marekani muda huu wewe umesahauliwa mashambani huko unalewa Kimpumu 🤣🤣
CHADEMA WANAPUMULIA MASHINE WAKO HOI TAABANNdugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.
Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu dhidi ya takwimu za Mtumishi wa Mungu Mpakwa mafuta Mchungaji peter Msigwa.
Soma hapa👎View attachment 3144950
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
wanachama laki nne tu ndio walifanya polisi wakaandamana na magari yao, wanachama laki nne tu ndio wanafanya mnakimbia na fomu za wagombea hahahah yaani wanachama lak nne tuu ndio wanafanya kila kukicha mnaacha mambo yenu kwa ajili yao, maana akisema mmoja mnamjibu 10,Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.
Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu dhidi ya takwimu za Mtumishi wa Mungu Mpakwa mafuta Mchungaji peter Msigwa.
Soma hapa👎View attachment 3144950
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa mfano mimi binafsi.Wengine watakuwa hawajajisajili kielektoniki
Nmeshangaa anajiita kada wa CCM! Mzee hata mwaka hana kwenye chama anajiita kada🤣Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.
Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo ili kupinga madai yake haupaswi kutukana matusi wala kukurupuka bali unapaswa kupinga kwa takwimu dhidi ya takwimu za Mtumishi wa Mungu Mpakwa mafuta Mchungaji peter Msigwa.
Soma hapa👎View attachment 3144950
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wamepoteana balaaCHADEMA WANAPUMULIA MASHINE WAKO HOI TAABAN