Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ina wanachama laki nne tu Nchi nzima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mnakazi machawa!Kila kukicha ni salute kwa Chama!
 
Sasa hukuona maandamano yamedoda na kumuacha mbowe na mke wake na mwanae ndio wameandamana?
 
Sasa hukuona maandamano yamedoda na kumuacha mbowe na mke wake na mwanae ndio wameandamana?
Hapana hayakudoda mzee mbona tuliyaona wamevaa magwanda na magari yao, walihamasishwa wakahamasika au wewe hukuona? ni wanachama 400 tu
 
Unajua idadi ya warepublican au wademocratic? Huku kwa kuwa wengi mpo kama misukule mnadhani idadi ya wanachama ni hoja ya msingi. Wenzetu wanaangalia maslahi ya nchi kwanza. Ndio sababu wapo warepublican walitamka wazi hawatampigia kura Trump na wapo salama. Nyie wavivu na mnaoishi kwa kutegemea uchawa mnaona issue ya wingi wa wanachama ni hoja. Mnasaidiwa kufikiri utadhani mkishinda mtapata nafuu yoyote kumbe ni mzigo wa upunguani unawasumbua. Huyo Msigwa mara ngapi amesema ccm wana akili ndogo!! Amewahi kufuta hilo kwanza,? vipi akili zenu ameziongeza yeye alivyohamia kwenu?
 
Umeoangea mambo ya uongo uongo tu. Unaweza vipi kushinda bila kuwa na wanachama wanaokuunga mkono? CHADEMA haina wanachama zaidi ya hiyo idadi iliyotajwa na Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa.Ndio Maana unaona hata michango ya Lissu kununua Gari ilidoda sana
 
Chadema haina mwanachama hata mmoja isipokuwa msigwa aliyehamia ccm hata hao laki 4 kasema uongo
 
Kwani wanaopiga kura kuchagua viongozi wa kitaifa ni wanachama wa vyama pekee? mbona hoja ya kipumbavu hivi. Nchi ina watu zaidi ya 50mwakati CCM haijawahi kuwa na wanachama zaidi ya 4M
 
Hiyo idadi ni ya waliojisajili kwenye mfumo wa kidijitali siyo ya wanachama wote.
 
Wamepoteana balaa
Siasa siasa siasa. Walisema wahenga siasa haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Siku ukigeukwa na hao unaowashabikia utatukana matusi yote. Zipo kauli tata za vyama vyote. Ila chama tawala miaka 63 ya uhuru linganisha na maendeleo yake,, utachoka mwenyewe.
 
Mwashamba kama wewe sio chawa nipe somo kwa ufupi kuhusu nini itikadi ya ccm na malengo yake. Je azamio la arusha ilikua kitu gani na kwa ufupi nini sera ya ccm kuhusu mambo ya kimsingi siasa na uchumi. Na toa ushahidi mama yuko kwenye misingi ya kweli ya chama cha mapinduzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…