Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu mpakwa Mafuta Mchungaji peter Msigwa ameyasema hayo na kutoa kauli hiyo inayoonyesha kuwananga wale wanaojiita makamanda kutoka kule alikokuwa awali,ambako unaweza kusema Misiri ya awali.
Ambapo sasa anafurahia Maisha ndani ya Canaani ambayo ni CCM.chama chenye kujali watu wote na chenye usikivu wa hali ya juu .Amedai ya kuwa ukiona namna wanavyoandika mitandaoni unaweza kufikiria kuwa wanamaanisha,kumbe hata wao wenyewe hawakiamini kile wanachokiandika
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.