Mchungaji Peter Msigwa: Ni Makamanda wa Mitandaoni tu, Hawana Lolote Lile..

Huyu aishi maisha sasa, maana njia aliyochagua kupata hela ni ya kimalaya malaya sana. Haamini tena maandika, OMBENI NANYI MTAPEWA.
 
Usimlishe Msigwa maneno hajasema kule aliko toka hayo ni yako mwenyewe anaweza akawa amewasema CCM wenyewe.
 
Walimdanganya na Lowasa Kwa mafuriko ya mitandaoni.😂😂
Ndio maana majuzi walimuuza mbowe na familia yake mpaka akaanza kuwaomba waandishi wa habari ili waandamane nao Utafikiri walimwambia kuwa wanataka kuandamana.yaani vijana wote wamemkimbia halafu anataka waandishi wa habari waandamane Utafikiri huwa anawapa Ruzuku.kwenye Ruzuku anakula mwenyewe halafu kwenye maandamano anawataka waandishi wa habari
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu mpakwa Mafuta Mchungaji peter Msigwa ameyasema hayo na kutoa kauli hiyo inayoonyesha kuwananga wale wanaojiita makamanda kutoka kule alikokuwa awali,ambako unaweza kusema Misiri ya awali.

Ambapo sasa anafurahia Maisha ndani ya Canaani ambayo ni CCM.chama chenye kujali watu wote na chenye usikivu wa hali ya juu .Amedai ya kuwa ukiona namna wanavyoandika mitandaoni unaweza kufikiria kuwa wanamaanisha,kumbe hata wao wenyewe hawakiamini kile wanachokiandikaView attachment 3106298

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Chief shughuli zako za kujiingizia kipato huwa unazifanya saa ngapi?
 
Huyo ni kichaa!
 
Walimuacha kweli solemba MKiti wao na kubaki na hamasa ya mtandaoni.
 
mpakwa Mafuta
1000220261.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu mpakwa Mafuta Mchungaji peter Msigwa ameyasema hayo na kutoa kauli hiyo inayoonyesha kuwananga wale wanaojiita makamanda kutoka kule alikokuwa awali,ambako unaweza kusema Misiri ya awali.

Ambapo sasa anafurahia Maisha ndani ya Canaani ambayo ni CCM.chama chenye kujali watu wote na chenye usikivu wa hali ya juu .Amedai ya kuwa ukiona namna wanavyoandika mitandaoni unaweza kufikiria kuwa wanamaanisha,kumbe hata wao wenyewe hawakiamini kile wanachokiandikaView attachment 3106298

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Binaadam. Wangaliamana leo yangalitokea maafa mngaliandika wanyonge. Wasiondamana mnaona wapuuzi. Msigwa ktk watu niliowadharau ktk maisha yangu ni yeye Lipumba
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu mpakwa Mafuta Mchungaji peter Msigwa ameyasema hayo na kutoa kauli hiyo inayoonyesha kuwananga wale wanaojiita makamanda kutoka kule alikokuwa awali,ambako unaweza kusema Misiri ya awali.

Ambapo sasa anafurahia Maisha ndani ya Canaani ambayo ni CCM.chama chenye kujali watu wote na chenye usikivu wa hali ya juu .Amedai ya kuwa ukiona namna wanavyoandika mitandaoni unaweza kufikiria kuwa wanamaanisha,kumbe hata wao wenyewe hawakiamini kile wanachokiandikaView attachment 3106298

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hizi njaa hizi, Lisu alikula shaba 36!
 
Darasa la Saba anajitutumua sasa - mitandaoni wamem- touch 🙂
 
Mbona haeleweki huyu kama popo.
 
Back
Top Bottom