Mchungaji Peter Msigwa: Ni Makamanda wa Mitandaoni tu, Hawana Lolote Lile..

Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu mpakwa Mafuta Mchungaji peter Msigwa ameyasema hayo na kutoa kauli hiyo inayoonyesha kuwananga wale wanaojiita makamanda kutoka kule alikokuwa awali,ambako unaweza kusema Misiri ya awali.

Ambapo sasa anafurahia Maisha ndani ya Canaani ambayo ni CCM.chama chenye kujali watu wote na chenye usikivu wa hali ya juu .Amedai ya kuwa ukiona namna wanavyoandika mitandaoni unaweza kufikiria kuwa wanamaanisha,kumbe hata wao wenyewe hawakiamini kile wanachokiandikaView attachment 3106298

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yeye amehama chama na bado anakimisi kwa sababu asingekuwa almost kila siku tangu aondoke ahangaike na chama alichokihama. Ni kama tumwache mke/mume halafu kila siku meseji zinazomhusu, si itanyesha moyo bado uko kwake? Yeye baada ya kuhama, angehakaika na kujenga chama chake kipya, lakini naona mawazo yake bado yako Chadema.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtumishi wa Mungu mpakwa Mafuta Mchungaji peter Msigwa ameyasema hayo na kutoa kauli hiyo inayoonyesha kuwananga wale wanaojiita makamanda kutoka kule alikokuwa awali,ambako unaweza kusema Misiri ya awali.

Ambapo sasa anafurahia Maisha ndani ya Canaani ambayo ni CCM.chama chenye kujali watu wote na chenye usikivu wa hali ya juu .Amedai ya kuwa ukiona namna wanavyoandika mitandaoni unaweza kufikiria kuwa wanamaanisha,kumbe hata wao wenyewe hawakiamini kile wanachokiandikaView attachment 3106298

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkuu hebu tujuze taratibu, hapo Msigwa kaandika kwenye gazeti au mtandaoni???

Kwa hiyo naye hamaanishi na wala haamini alichokiandika hapo juu??

Pia nawe ulieandika hapa japo kwa kujipendekeza kwake, yeye Msigwa anakuona kuwa humanishagi na wala huamini unachokiandikaga humu, au hujamulewa???
 
Back
Top Bottom