Mchungaji Peter Msigwa: Ni Makamanda wa Mitandaoni tu, Hawana Lolote Lile..

Yeye amehama chama na bado anakimisi kwa sababu asingekuwa almost kila siku tangu aondoke ahangaike na chama alichokihama. Ni kama tumwache mke/mume halafu kila siku meseji zinazomhusu, si itanyesha moyo bado uko kwake? Yeye baada ya kuhama, angehakaika na kujenga chama chake kipya, lakini naona mawazo yake bado yako Chadema.
 
Mkuu hebu tujuze taratibu, hapo Msigwa kaandika kwenye gazeti au mtandaoni???

Kwa hiyo naye hamaanishi na wala haamini alichokiandika hapo juu??

Pia nawe ulieandika hapa japo kwa kujipendekeza kwake, yeye Msigwa anakuona kuwa humanishagi na wala huamini unachokiandikaga humu, au hujamulewa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…