Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagombana waliko, hawana mwelekeo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
A very stupid person I have ever seen in this decade? Mentally sick?
 
Msigwa hayo unayo yaongea unajua kabisa hayatoki moyoni kwako, kwasababu CDM kama leo hii inakufa kama CUF hutapata ulaji wowote tena, kwahiyo unakazana kuinanga CDM ili uendelee kupata ugali, kwa upande wangu siyo vibaya ila kwa upande wako umeamua kutmia njia ya shortcut katika maisha inaweza ikaja kucost huko mbele ya safari, ulikuwa umefika hatua nzuri sana kisiasa ya kusimama wewe mwenyewe kama taasisi lakini hivi sasa unatumiwa kama Rubish pit inasikitisha sana.

Kujiunga na CCM wala siyo kosa ila hayo unayo fanya yanazidi kukuporomoshia hadhi yako, jitafakari uliko toka na unakokwenda, wewe hukuwa mtu wakubebwa na mbeleko au kutegemea mbeleko ndiyo ule. Wewe hatua ambayo ulikuwa umefikia ungeweza hata ukaacha siasa na kubaki na heshina yako na ukaendelea na maisha yako bila hofu wala wasiwasi wowote.

Nguvu kubwa unayoitumia kuwatukana na kuwabagaza CDM mwangwi wake utakurudia siku moja na utajuta kwanini ulizaliwa. Kuna watu ambao walitoka CDM na wakapewa vyeo vikubwa bila kuinanga CDM ila kunawashamba wachache ambao walitoka cdm wakapewa peremende tu wanavyo ibagaza CDM utazani wamepata nini huko.
 
Kwanini yeye akae kimya wakati ana uhuru wa kutoa maoni au kwakuwa kaongea mambo yasiyowagutahisha nyie?
 
Atuambie uchunguzi wa Ally Kibao imefikia wapi
 
Kwanini yeye akae kimya wakati ana uhuru wa kutoa maoni au kwakuwa kaongea mambo yasiyowagutahisha nyie?
Najua fika kwmb ana uhuru wa kutoa maoni. Lkn kwmb ni kw kua kaongea mambo yasiyo "tugutahisha"/furahisha? sisi, sijui - mimi na nani! Nilitoa ya moyoni kwangu na mapendkezo yangu, sio yetu. Isiwe tabu
 
Najua fika kwmb ana uhuru wa kutoa maoni. Lkn kwmb ni kw kua kaongea mambo yasiyo "tugutahisha"/furahisha? sisi, sijui - mimi na nani! Nilitoa ya moyoni kwangu na mapendkezo yangu, sio yetu. Isiwe tabu
Wewe toa maoni yako na yeye atoe yake mbona yeye hajakizui wewe?
 
Hili choko nani analisikiliza labda machoko wenzake huko ccm.
 
Ni nani atamsaidia Peter kuponya maumivu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…