Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagombana waliko, hawana mwelekeo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kada wa CCM mchungaji Peter Msigwa awataka vijana wote nchini kupuuza propaganda za CHADEMA na Kuiunga Mkono CCM.

"Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagomba huko waliko, hawana mwelekeo, wamepoteza dira. Wakina mama fanyeni biashara zenu, vijana msipoteze muda kusubiri matumaini hewa kutoka CHADEMA.

Tuendelee kuwa na imani na Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo kimsingi imetufikisha hapa tulipo

Wanaongea mambo mengi, utalinganisha Tanzania na nchi gani? Nenda huku kusini mwa Afrika, utalinganisha Tanzania na Msumbiji?, Malawi?, Zambia?, Kongo, Kenya, Uganda?. Hii ni Tanzania zuri ambayo kumekuwa na utulivu na amani chini ya Dkt. Samia".

A very stupid person I have ever seen in this decade? Mentally sick?
 
Kada wa CCM mchungaji Peter Msigwa awataka vijana wote nchini kupuuza propaganda za CHADEMA na Kuiunga Mkono CCM.

"Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagomba huko waliko, hawana mwelekeo, wamepoteza dira. Wakina mama fanyeni biashara zenu, vijana msipoteze muda kusubiri matumaini hewa kutoka CHADEMA.

Tuendelee kuwa na imani na Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo kimsingi imetufikisha hapa tulipo

Wanaongea mambo mengi, utalinganisha Tanzania na nchi gani? Nenda huku kusini mwa Afrika, utalinganisha Tanzania na Msumbiji?, Malawi?, Zambia?, Kongo, Kenya, Uganda?. Hii ni Tanzania zuri ambayo kumekuwa na utulivu na amani chini ya Dkt. Samia".

Msigwa hayo unayo yaongea unajua kabisa hayatoki moyoni kwako, kwasababu CDM kama leo hii inakufa kama CUF hutapata ulaji wowote tena, kwahiyo unakazana kuinanga CDM ili uendelee kupata ugali, kwa upande wangu siyo vibaya ila kwa upande wako umeamua kutmia njia ya shortcut katika maisha inaweza ikaja kucost huko mbele ya safari, ulikuwa umefika hatua nzuri sana kisiasa ya kusimama wewe mwenyewe kama taasisi lakini hivi sasa unatumiwa kama Rubish pit inasikitisha sana.

Kujiunga na CCM wala siyo kosa ila hayo unayo fanya yanazidi kukuporomoshia hadhi yako, jitafakari uliko toka na unakokwenda, wewe hukuwa mtu wakubebwa na mbeleko au kutegemea mbeleko ndiyo ule. Wewe hatua ambayo ulikuwa umefikia ungeweza hata ukaacha siasa na kubaki na heshina yako na ukaendelea na maisha yako bila hofu wala wasiwasi wowote.

Nguvu kubwa unayoitumia kuwatukana na kuwabagaza CDM mwangwi wake utakurudia siku moja na utajuta kwanini ulizaliwa. Kuna watu ambao walitoka CDM na wakapewa vyeo vikubwa bila kuinanga CDM ila kunawashamba wachache ambao walitoka cdm wakapewa peremende tu wanavyo ibagaza CDM utazani wamepata nini huko.
 
Ingepedeza kama angkaa kimya baada ya kuukosa uongozi wa kanda- akae na familia yke waishi kama familia ya kiongozi wa kikristo. Auonyeshe uchungaji wake badala ya ushabiq wake ktk chama. Kw jinsi ilivo, inaashiria anatafta kuteuliwa kua kiongozi flani na kwamba Rais aspomwona, atahama tena, kama walvofanya wengi au kutubu na kuomba kurudi CDM alpojijengea jna. Xaxa hv anaonyesha "frustrations" zilizojaa moyoni mwake, uYuda unampa tabu- kila akifungua mdomo, hana jingine ni CDM tu!

Anajipungzia heshma aloipata awali kama mchambuzi wa masuala ya kitaalam na xaxa zaidi kw kutegmea kwmb kla nchi Afrika inatakiwa iongozwe na ilani za vyama tawala badala ya mipango mujarab ya kitaalam ya maendleo ilowekwa na wataalam wenye fani husika. Walixema "yamtokayo mtu, ndo yaloko moyoni mwake"- sidhani kama hayo yana ukweli kwa huyu - tena mchungaji. Anaharbu taswira ya uchungaji
Kwanini yeye akae kimya wakati ana uhuru wa kutoa maoni au kwakuwa kaongea mambo yasiyowagutahisha nyie?
 
Atuambie uchunguzi wa Ally Kibao imefikia wapi
 
Kwanini yeye akae kimya wakati ana uhuru wa kutoa maoni au kwakuwa kaongea mambo yasiyowagutahisha nyie?
Najua fika kwmb ana uhuru wa kutoa maoni. Lkn kwmb ni kw kua kaongea mambo yasiyo "tugutahisha"/furahisha? sisi, sijui - mimi na nani! Nilitoa ya moyoni kwangu na mapendkezo yangu, sio yetu. Isiwe tabu
 
Wewe toa maoni yako na yeye atoe yake mbona yeye hajakizui wewe?
 
Kada wa CCM mchungaji Peter Msigwa awataka vijana wote nchini kupuuza propaganda za CHADEMA na Kuiunga Mkono CCM.

"Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagomba huko waliko, hawana mwelekeo, wamepoteza dira. Wakina mama fanyeni biashara zenu, vijana msipoteze muda kusubiri matumaini hewa kutoka CHADEMA.

Tuendelee kuwa na imani na Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo kimsingi imetufikisha hapa tulipo

Wanaongea mambo mengi, utalinganisha Tanzania na nchi gani? Nenda huku kusini mwa Afrika, utalinganisha Tanzania na Msumbiji?, Malawi?, Zambia?, Kongo, Kenya, Uganda?. Hii ni Tanzania zuri ambayo kumekuwa na utulivu na amani chini ya Dkt. Samia".

Hili choko nani analisikiliza labda machoko wenzake huko ccm.
 
Back
Top Bottom