Mchungaji Rose Shaboka: Niliolewa nikiwa bikira

Mchungaji Rose Shaboka: Niliolewa nikiwa bikira

Baba Kisarii

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2024
Posts
1,844
Reaction score
3,089
Maneno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema....
"Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu".

Wana familia wa New day tujuane hapa.
 
Andika hapo kwa pastor aho
Maneno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema....
"Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu".

Wana familia wa New day tujuane hapa.View attachment 3172979
Boka ndiyo alimtoa damu je alilia?
 
Attachments

  • FB_IMG_1733733431809.jpg
    FB_IMG_1733733431809.jpg
    18.7 KB · Views: 4
Back
Top Bottom