Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Andika hapo labda
Bikra ya mbwaManeno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema....
"Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu".
Wana familia wa New day tujuane hapa.View attachment 3172979