Me and me
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 226
- 496
Unatakiwa ujue kwamba Hymen inaweza isiondoke yote during first sexual intercourse na inaweza kumalizikia kwenye intercourse zifuatazo. So ni more likely hymen ikabaki kwa kiasi kikubwa ikiwa mwanamke atajiingiza Vidole tuu tena kwa mara Chache.Mwanamke akijiingizia/akiingiziwa vidole katika uke hiyo hymen bado inaendelea kuwepo au uume tu wa mwanaume ndio unaweza kuiondoa?
inaweza kuondoka yote kama atadumu kufanya hivyo.
Lakini at normal diameter ya vidole vya mtoto wa kike si rahisi kusababisha effects of insertion kama vile ambavyo utasababisha uume au Sextoy.
(Ikumbukwe kujiingiza vidole kuingizwa uume au kujiingiza Sextoys Pataacha adhari ambayo itatumika ku evaluate your sexual habits) Hasa kwa Jamii zinazozingatia Ubikira.
Hii sasa ni Elimu ambayo inabidi ujifunze.Hayo matundu ya hymen ni makubwa kiasi gani kupitisha damu ya hedhi yenye mabonge mabonge.?
Zipo aina tofauti tofauti za hymen ya Mwnamke Bikra.
Annual hymen ina Tundu moja kubwa katikati.
Cribriform hymen ina vitundu vingi vingi.
Septate hymen ina matundu mawili yametengenishwa na membrane nyembamba.
Alafu kuna ile ambayo haina tundu lolote (imperforate hymen) ambapo binti akiwa na hali hii anaweza kujaa tumbo from her first menstruation na ikadhaniwa ni ujauzito.
Hayo matundu ni makubwa kuruhusu damu ipite lakini sio makubwa kuruhusu kitu kiingie.