Mchungaji Rose Shaboka: Niliolewa nikiwa bikira

Mchungaji Rose Shaboka: Niliolewa nikiwa bikira

Ni ajabu sana kama kuna mwanaume atakubali kuoa mwanamke asiye bikra.
Ewe mwnaume, kama umeoa mwanamke asiye bikra maana yake amefanya kitendo na mtu mwengine na huyo mwanamke anabaki na ile kumbukumbu ya kwanza.
Madhara yake ni kwamba, huyo aliye m'bikiri muda wowote anaweza kumuomba tu, haina mjadala na anapewa bila masharti!

Tiba: Kama mwanamke wako alitolewa bikram, basi hakikisha mtoaji ama amekufa ama amefungwa kifungo kirefu la sivyo utaumia tu!
Dawa nyingine: Oa bikra japo si guarentee ya kudumu kwa ndoa>
Kizazi cha 2000 kukutana na bikira ni ndoto!
 
Si mnawatoboa na kuwaacha then mnaenda kusaka mke bikira wa kuoa, mtawapata wapi hao mabikira?

Habari njema kwa mchina huwarejeshea bikira zao kisha mnawaoa mabikira wenye bikira za mchina...

Poleni sana 🤣🤣
Kumbe bikira zipo
 
Kwa hiyo pastor anavyojimwambafu huoni kama anazijua akili mbofu mbofu za wanaume wasaka bikira?

Laiti ungemjua vizuri pastor Rose bila shaka ungeielewa vizuri sana hiyo thread.....

Pastor kachukua upande wa mabikira ili kuendeleza biashara ya Wachina kuuza bikira...

Niaamini hakuna mwanamke bikira kwa sasa ila wanaume mnakaza fuvu kutafuta mabikira kwa nini msipigwe na Wachina?
Hiki ulichokiandika ni blah..blah au niziite cheap propaganda ambazo mara nyingi zinasambazwa na watu waliopoteza bikra zao tangu wakiwa form two baada ya kulaghaiwa kwa chips kavu pamoja na ice cream... Na mbaya Zaid unakuta mpaka leo hii hawajaolewa na huko chini goli liko wazi.

Bana Ehee... Pastor Rose Yuko sahihi kabisa kwa 100%, mwanamke unatakiwa uolewe ukiwa hujawahi kuguswa ndio maana ya ndoa.

Hakuna kitu kama bikra ya mchina, HAKIPO nimerudia kwa herufu kubwa, hiyo ni kauli ambayo huwa mnaitumia kujifariji tu na kufanya manipulation kwa wanaume hili waone ni kawaida tu kuwaoa hivyo hivyo mkiwa tayari ni used.
 
Hakuna kitu kama bikra ya mchina, HAKIPO nimerudia kwa herufu kubwa, hiyo ni kauli ambayo huwa mnatumia kujifariji tu na kufanya manipulation kwa wanaume hili waone ni kawaida tu kuwaoa hivyo hivyo mkiwa tayari ni used.
Kalaghabaho kijana
 
Kwa hiyo pastor anavyojimwambafu huoni kama anazijua akili mbofu mbofu za wanaume wasaka bikira?

Laiti ungemjua vizuri pastor Rose bila shaka ungeielewa vizuri sana hiyo thread.....

Pastor kachukua upande wa mabikira ili kuendeleza biashara ya Wachina kuuza bikira...

Niaamini hakuna mwanamke bikira kwa sasa ila wanaume mnakaza fuvu kutafuta mabikira kwa nini msipigwe na Wachina?
Hakuna wanawake bikra umejuaje?
 
Kwani kuwa wasiookoka?

Ungesema ana akili ningekuelewa mkuu.
Akili bila kuokoka ni ubatili mtupu.

Kuna akili ama hekhma inazidi hekhma za Mungu?

Bikira Maria kama si kuwa na hekma za ki-mungu si angefanyana na joseph, lakini uweza wa Mungu ulimfanya avumilie mpaka Yesu alipozaliwa ndio wakaendelea na mapenzi yao.
 
Unaweza kuwafundisha mabinti na wavulana mambo ya bikira kwa mrengo wa dini yako au mila na tamaduni za jamii yako ambazo ni za kale hata hivyo kwa malengo yako/yenu mnayofikiri ni ya muhimu sana
Tamaduni za wakati huu za kisasa kwani zinasemaje juu ya hili??
lakini msiwadanganye kwamba kuna bikira kisayansi au kibaolojia na kwamba bikira inaweza kuthibitishwa kwa wanawake kisayansi kupitia kufanya mapenzi au kukaguliwa na mtaalamu fulani.
Unachekesha sasa hili si tulilifanafafanua huko juu kwa reason za kisayansi.

Yaani hata hujui kuwa kuna virginity test japo inapigwa vita na Watetea upumbavu kama wewe lakini in medicine it will remain there.
Virginity is a social construct.
Absolutely false ideology.
Virginity is biological gift appreciated by society.
 
Back
Top Bottom