Tukiwafundisha Na tukiweka msimamo juu ya Ubikra wake kuna Faida nyingi Kuliko hasara.
Binti Atalazimika kujitunza na kuweka msimamo juu ya kurubunika kirahisi hilo litamsaidia yeye binafsi kuepuka magonjwa ya zinaa,, Mimba zisizotarajiwa, Ukimwi, Kumuweka makini katika masomo nk.
Pia itawafanya wanaume wakimbilie kuoa Sababu hakuna namna atapata tendo isipokuwa Kuoa huyo Mwanamke(Tofauti na ilivyo sasa unaweza ukajiuliza sasa naoa ili nipate kipi kingine??) au abake.
Kabla kufikilia upande wa wanaume wanaofurahia na Kuamini ubikra fikilia namna binti atakayelazimika kuolewa akiwa Bikra atakavyosalimika na mengi.
TOFAUTI NA TUTAKAPOMUAMINISHA BINTI WA MIAKA 15 KUWA BIKRA SIO KITU CHA MSINGI UTAOLEWA TUU HATA KAMA HUNA BIKRA ,,, UNAHISI HILI LITAKUWA NA FAIDA NYINGI KULIKO LILE LA JUU.??
FIKILIA KUHUSU JAMII SIO KUHUSU MTU MMOJA MMOJA AMBAE ANATETEA SOKO LAKE BAADA YA KUWA HUKO NYUMA ALIYAFANYA YA KUYAFANYA.