Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
- Thread starter
- #41
Hebu tafuta jibu la hili swali... "mwanaume ambaye hajawahi kufanya tendo la ndoa huitwa?"Mwanaume hawi bikra na hamna namna ya kumpima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tafuta jibu la hili swali... "mwanaume ambaye hajawahi kufanya tendo la ndoa huitwa?"Mwanaume hawi bikra na hamna namna ya kumpima
Maswali muhimu kabisa haya, tusubiri majibuHiyo layer au tissue inayomfanya mwanamke kuwa bikira inaitwaje kisayansi? Mwanamke akijiingizia au akiingiziwa vidole ukeni bado hiyo layer/tissue itaendelea kuwepo? Bado ataendelea kuwa bikira?
Kama mwanaume ni kibamia na mwanamke ana uke mkubwa atasikia maumivu hata kama anafanya mapenzi kwa mara ya kwanza?
Kiwango cha uke wa mwanamke kuwa tight/kubana kinatofautiania kati ya wanawake.Mwanamke Bikra hana ule mkubwa mkuu, uke unakuwa right, ukubwa wa uke unaanza pale Saiz tofauti za mitwangio inapoingia, nimesema hiyo layer ni utando very thin
Ikiwa wewe huogopi basi hata shetani haogopi hizo sautiNje ya mada kidogo, hivi hizi sauti wachungaji huwa ndo shetani anaogopa?
Vipi wanopiga punyeto/masturbation ?Kwa mwanaume kuwa bikira ina maana ni mara ya kwanza ku-sex.
Kuna uzushi niliwahi kusikia eti ukitaka kujua size ya uke wa demu basi tazama mdomo wake hasa lips...Kiwango cha uke wa mwanamke kuwa tight kinatofautiania kati ya wanawake.
Hakuna saizi moja ya uke kama tu ambavyo hakuna size moja ya midomo, macho, pua, masikio n.k
Na mimi nimewahi kusikia mkuu ila sijui kuna ukweli kiasi gani.Kuna uzushi niliwahi kusikia eti ukitaka kujua size ya uke wa demu basi tazama mdomo wake hasa lips...
Hii ni kweli mkuu?
Ngoja niendelee kusaka ukweliNa mimi nimewahi kusikia mkuu ila sijui kuna ukweli kiasi gani.
Kwahiyo wengine wameoa uchafu?Maneno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema....
"Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu".
Wana familia wa New day tujuane hapa.View attachment 3172979
Maneno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema....
"Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu".
Wana familia wa New day tujuane hapa.View attachment 3172979
Mhuni huyu ashaliwa sana kabla ya kuolewa, labda kama bikra anayoingolea ni ya mkund** ambayo hata hivyo nahisi hana watu washafumua hadi marinda ya YASManeno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema....
"Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu".
Wana familia wa New day tujuane hapa.View attachment 3172979
Maswali kama hayo yanatakiwa yajibiwe na wadada, sasa wadada wa JF waje watufafanulie.Maswali muhimu kabisa haya, tusubiri majibu
Ili damu ya hedhi itoke lazima ipite ukeni, sasa kama kuna layer nyembamba kama utando ukeni hiyo damu ya hedhi itapitaje ili iweze kutoka?
Kama mwanaume ana kibamia halafu mwanamke ana uke mkubwa kwa nini asikie maumivu hata kama ikiwa ni siku ya kwanza??
Mwanamke akijiingizia/akiingiziwa vidole katika uke hiyo hymen bado inaendelea kuwepo au uume tu wa mwanaume ndio unaweza kuiondoa?1)Tissue inayokuwepo kwenye virginal orifice(Mlango wa uke) ni hymen ambayo ipo perforated (yaani ina matundu matundu)
Ambayo hurusuhu fluids kama damu kupita na ikitokea hymen haijawa perforated(due to Certain abnormalities)
Deformation au rupture ya uke ni jambo lingine kabisa.2)vagina(uke) ni Elastic tube ambayo elasticity yake ni maximum kama binti hajaanza kuingiza vitu vikubwa na butu kwenye uke wake ikiwemo uume.
Kadri vitu butu vinavyozidi kuingia na kutoka ndivyo elasticity ya uke inapungua na unakosa kubana tofauti na mwanzo.
Tunaposema ukubwa wa uke tunazingatia the extent uke unaweza kutanuka bila deformation or rupture .
chupi za pasta utazifurahiaje? Yule ni mtumishi wa munguAndika hapo je unatamani kuwa msaidizi wake wa ndani ili uweze kumfuria chupi zake?
kwa mwanamke bikra hata kibamia inakuwa ndogoKiwango cha uke wa mwanamke kuwa tight/kubana kinatofautiania kati ya wanawake.
Hakuna saizi moja ya uke kama tu ambavyo hakuna size moja ya midomo, macho, pua, masikio n.k
Huwa anampa hadi denda la hadhara mumewe
Endelea kujifariji hivyo hivyo.kwa mwanamke bikra hata kibamia inakuwa ndogo