Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Kivipi mkuu?Hawa ndo watu wanaofanya Wakristo waonekane hawana akili
Hivi hata mumewe alikuwa bikira?sasa anamtangazia nani? kwani peke yake ndo kaolewa akiwa bikra?
Mwanaume hawi bikra na hamna namna ya kumpimaHivi hata mumewe alikuwa bikira?
Kuna jamaa nilibishana nae akaniambia kama hujafanya mapenz toka kuzaliwa wewe ni bikra nikamwambia hazikutoshiMwanaume hawi bikra na hamna namna ya kumpima
Mwanamke unampimaje bikira?Mwanaume hawi bikra na hamna namna ya kumpima
Nini maana ya bikira?Kuna jamaa nilibishana nae akaniambia kama hujafanya mapenz toka kuzaliwa wewe ni bikra nikamwambia hazikutoshi
Nje ya mada kidogo, hivi hizi sauti wachungaji huwa ndo shetani anaogopa?Maneno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema....
"Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu".
Wana familia wa New day tujuane hapa.View attachment 3172979
Hatumii ubongo wake vizuri huyoKuna jamaa nilibishana nae akaniambia kama hujafanya mapenz toka kuzaliwa wewe ni bikra nikamwambia hazikutoshi
hapana swagga tu, shetani haogopi sautiNje ya mada kidogo, hivi hizi sauti wachungaji huwa ndo shetani anaogopa?
Mwanamke bikra uke wake unakuwa umepigwa lockMwanamke unampimaje bikira?
Lock gani? Kama uke unakuwa umepigwa lock anapataje hedhi/periods?Mwanamke bikra uke wake unakuwa umepigwa lock
Ulijuaje ni bikira?Mimi nilidate na demu akiwa bikra chuo mwaka wa tatu Ila nimtazamaji mzuri wa porn video
Boka ndiyo alimtoa damu je alilia?Maneno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema....
"Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu".
Wana familia wa New day tujuane hapa.View attachment 3172979
🤣🤣🤣🤣Hawa ndo watu wanaofanya Wakristo waonekane hawana akili