Remembrance
Member
- Jun 22, 2020
- 74
- 180
Mhh! Hii ni balaa kabisa. Inanikumbusha ile Scandal ya Robert Horry (San Antonio NBA) kumzalisha mke wa Tim Dunkan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daa ndoa shida Sana, lakini kilichofanya mama, apigishe mbususu, au pastor aichakate, sio kwa sababu huyo mama alikuwa kwenye ndoa, hata kama angekuwa hajaolewa, anaishi tu na jamaa, mbususu ingechakatwa,Kwa nini nisiungane na kataa ndoa na ndoa ni utapel
😂😂😂 ila inauma sanaDaa ndoa shida Sana, lakini kilichofanya mama, apigishe mbususu, au pastor aichakate, sio kwa sababu huyo mama alikuwa kwenye ndoa, hata kama angekuwa hajaolewa, anaishi tu na jamaa, mbususu ingechakatwa,
Mi pro ndoa, lakini kwa jinsi Hao watoto walivyo wazuri, imeniuma Sana,
Hebu fikiria, junior wako kila siku unampeleka shule, anakuambia bye dady, Leo anaona unagombana na mama yake, unamuambia wewe sio baba yake! Nina watoto wadogo, I can only imagine jinsi watakavyolia,
Kwa issue ya, jamaa, kama ni Mimi, mke napiga chini, nachukua custody ya watoto, nazama ulaya, naoa mzungu, au Dada wa, aliyekuwa mke wangu kama yupo.
Alisaidiwa ndoa isivunjike wakati yeye ndo kapima na kusanua? Ingekuwa hivyo si angekaushaNimemuambia rafiki yangu mmoja aokoe ndoa ya mdogo isivunjike kwa kuingilia hiyo ndoa kwa siri aampige paipu shemeji yake apate watoto. Anadai mdogo wake si mzima kutungisha mimba kwa mke wake wana miaka miaka mingi tangu wafunge ndoa hawana hata mtoto mmoja. Kuliko watu baki wazae na shemeji yake bora yeye akazae nae. Huenda huyo mchezaji ni mbovu wa kutungisha mimba ndio alisaidiwa na mchungaji wake kupata watoto ili ndoa isivunjike
Siku za hatari demu alikuwa hampi jamaa ,alikuwa anaenda fellowship,lichugaji linaweka.Sasa jamaa naye inakuaje hana hata mmoja wakwake hapo.
Sio hospital za bongo hizo mkuu kule uhakika 100% .mfano nairobi tu haposio kama bongo ni ukifika hata muda wa cancelling hawana wanachohitaji ni kuchukua sampos within 36 hrs majibu unachapwa email ww na mwenzioMajibu ya DNA umeyaona? Mke wake kaomba majibu yawekwe hadharani na jina la hospital.
Huyo mtoto wa katikati mbona kama anafanana na ndigi yakeMchungaji Tobi Adegboyega ndie aliezaa watoto wote na mke wa mchezaji wa zamani wa Super Eagles na Man city Michael Olanrewajin Kayode. Mchungaji kapiga mashine mpaka mke wa mtu Dora kayode kuzaa watoto watatu ndani ya ndoa!
Timu kataa ndoa wanazidi kuchukua point tatu!
View attachment 3001054View attachment 3001055
Hahaaaa kipindi cha maury kina fujoF**k around, y'all gonna be up on the Maury Show.