fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
😂😂 mkuu wa mkoa anapenda👌 chochote kiyltu aiseeh nchi ngumu hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 mkuu wa mkoa anapenda👌 chochote kiyltu aiseeh nchi ngumu hii
Una basha huko Chadema ?Nampongeza Mh Rais kwa kumtumbua huyu mshenzi ingawa CHADEMA watamtetea. Kiuhalisia ni aibu kubwa mno mtu kuipata. Yaani nchi nzima kwa sasa inamtazama jamaa kama mfiraji.
Huo ushahidi ulio wazi uko wapi mkuu? Kama ni ripoti ya daktari basi hiyo futa kabisa "Tupa kule" haina mashiko hata kidogo. Kwani daktari alisema huyo binti kalawitiwa? Soma hii hapa "Katika uchunguzi huo uliofanywa na daktari (jina tunalihifadhi), alibaini mwanafunzi huyo wa mwaka wa kwanza aliingiliwa kinyume na maumbile.Kwaiyo unataka kusema RC hajatatua marinda mbona ushahidi uko wazi?
Kwa nini isiwe mzee wa Kundus pale Afghanistan?Mzee wa totoz
Mtego wa kisiasa huu
Rc ameliwa timing akaingia kwenye line wakala kichwa
Soma Kesi Bodaboda hajashinda bali Ushahidi haukutosha kumhukumu mtuhumiwa kama mbakajai baada ya ushahidi kutokujitosheleza hivyo bodaboda akala Mvua saba kosa la Utekaji.Halafu kumbe siyo mara ya kwanza. Mwaka 2019 binti huyu huyu aliwahi kufungua kesi ya kubakwa na bodaboda wakati huo akiwa kidato cha nne. Sijaisoma huku hii vizuri lakini nadhani bodaboda alishinda! 😳
Huyu kashindikana tokea nyumbani kumbeHalafu kumbe siyo mara ya kwanza. Mwaka 2019 binti huyu huyu aliwahi kufungua kesi ya kubakwa na bodaboda wakati huo akiwa kidato cha nne. Sijaisoma huku hii vizuri lakini nadhani bodaboda alishinda! 😳
vijana hawana uwezo wa kumiliki iphone na kuhonga!Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza ndani ya gari.
Uchunguzi umebaini jina la usajili wa namba ya simu iliyotajwa na mwanafunzi huyo, linafanana na la mmoja wa wakuu wa mikoa nchini.
Mbali na usajili huo ambao hufanywa kwa kutumia Kitambulisho cha Taifa kuonyesha jina linalofanana na la mteule huyo, lakini jina hilohilo pia ndilo linaonekana katika tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa huo na akaunti ya Instagram.
Lakini jina hilo pia limetokea katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa mwaka 2022 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, ingawa jina linaloonekana kwenye usajili wa simu na lile linaloonekana katika akaunti ya mkuu wa mkoa huyo kwenye mtandao wa Instagram, linatofautiana kwa jina la katikati.
Tukio hilo linalodaiwa kutokea Juni 2, 2024 katika eneo la maegesho la moja ya baa mashuhuri jijini Mwanza, tayari limeanza kusambaa katika mitandao ya kijamii hususan X (zamani Twitter) ingawa aliyetoa taarifa hiyo, hakumtaja mhusika kwa jina.
Uchunguzi wa gazeti hili kutoka vyanzo mbalimbali jijini Mwanza, Dodoma na Dar es Salaam, vimedokeza uchunguzi wa suala hilo unafanywa kwa usiri mkubwa, kwani mtuhumiwa ni mtu mzito serikalini ambaye mpaka jana jioni alikuwa hajatiwa mbaroni.
Kulingana na taarifa kutoka vyanzo hivyo, tayari polisi walichukua sampuli kwa ajili ya kupima vinasaba (DNA) kutoka katika nguo alizokuwa amevaa mwanafunzi huyo kama zitaoana na mtuhumiwa na kuzituma kwa Mkemia Mkuu wa Serikali.
Taarifa zimeeleza tukio hilo linaendelea kuchunguzwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza na tayari taarifa za awali zimetumwa kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai ambaye alipotafutwa hakupatikana.
Gazeti hili limemtafuta mmoja wa maofisa Ofisi ya Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai ambaye hakutaka kutajwa jina lake amesema:“Taarifa za tukio hilo aulizwe Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza.”
Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Wilbrod Mtafungwa alipotafutwa amesema: “Nipo msibani kwa sasa hivi.’’ (ilikua saa 10 jioni)
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Gideon Msuya alipotafutwa ikiwa ni saa 12:40 jioni kuhusu suala hilo, hakukubali wala kukanusha juu ya uwepo wa tukio hilo zaidi amesema: “Yapo mambo anayoongea kamanda kama kamanda.”
Alipoulizwa na gazeti hili kuwa yeye ndiye ameachiwa ofisi, Kamanda Msuya alisisitiza atafutwe kamanda Mutafungwa kwani ndiye hutoa taarifa.
Naye Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda alipotafutwa kuzungumzia suala hilo kutokana na yeye kuwa mwenyekiti wa usalama mkoani humo amesema: “Mimi sijaletewa kwenye dawati langu hilo tukio la mwanafunzi na huyo mwanafunzi hajaniletea hilo suala labda niwasiliane na polisi.”
Hivi ndivyo uhusiano ulivyoanza
Uchunguzi wa gazeti hili kwa kuegemea vyanzo mbalimbali jijini Mwanza, Dar es Salaam na Dodoma, zinaeleza mtuhumiwa huyo alianza uhusiano na mwanafunzi huyo mwenye miaka 21 Januari 2024 jijini Mwanza.
Siku hiyo walikutana katika tafrija ya siku ya kuzaliwa ambayo mtuhumiwa anatajwa ndiye alikuwa mgeni rasmi na hapo ndipo walipobadilishana simu na kuanzisha uhusiano na kuendelea kuwasiliana kwa simu mara kwa mara.
“Unajua huyu bosi ili kumu win (kumpata) huyu dada alianza kumtumia fedha za matumizi ya hapa na pale. Sasa ile mwezi Februari 2024 kama utakumbuka kulikuwa na ziara ya Rais hapa Mwanza,” kimesema chanzo chetu.
Chanzo hicho kimedai siku hiyo kigogo huyo alikutana na dada huyo katika moja ya hoteli jijini Mwanza, ambapo katika hali ya kustaajabisha, alimuomba wafanye mapenzi kinyume cha maumbile, ombi ambalo dada huyo alilikataa.
Kigogo huyo inadaiwa aliendelea kumshawishi akubali kufanya naye mapenzi kinyume cha maumbile kwa ahadi kuwa angempa maisha mazuri na kumuahidi angekuwa anampa kiasi kisichopungua Sh500,000 kila mwezi.
Tukio lenyewe lilivyokuwa
Chanzo kimoja kutoka ofisi ya kigogo huyo, kimedai siku ya tukio, mtuhumiwa alitumia kila mbinu kumshawishi mwanafunzi huyo wakutane jijini Mwanza, ambapo walikutana katika baa hiyo mashuhuri na kupata vinywaji.
“Sasa baada ya muda huyu jamaa akamuambia wakazungumze kwenye gari maana kuna mambo ya muhimu anataka kumweleza. Huko sasa jamaa ndio akashinikiza wafanye kinyume cha maumbile,” kimedokeza chanzo hicho.
Chanzo kingine kutoka moja ya ofisi nyeti za Serikali jijini Dodoma, kimedai baada ya kwenda kwenye gari lililokuwa limeegeshwa eneo la maegesho ya klabu hiyo, ndipo kigogo huyo alipotimiza haja zake.
“Tunavyoambiwa sio kwamba huyo mwanafunzi aliridhia, hapana. Huyu jamaa alimtisha sana na kwa vile huyu dada alikuwa anamjua kama mheshimiwa, alijua ni watu wanatembea na silaha na walinzi hivyo akafanya aliyoyafanya”.
“Inaonekana huyu ni mchezo wake baada ya kumshawishi sana huyu dada wa watu akamgomea. Ndio naona akaja na hiyo plan B (mpango wa pili) wa kumwita kwenye gari akamvua nguo kwa nguvu na kumlawiti,” kimesema chanzo kingine.
Chanzo kingine kilidai kigogo huyo na gari alilolitumia vilinaswa na kamera za usalama zilizofungwa katika klabu hiyo tangu gari hiyo inaingia, kuegeshwa na kutoka usiku wa saa sita na namba za usajili zilisomeka vizuri.
Kamera zinaonesha ilipofika saa 2:48 usiku, binti huyo alionekana akiingia katika gari hilo na saa 3:21 usiku, takribani dakika 30 kupita, mlalamikaji alionekana akitoka kwenye gari.
Saa 6:24 usiku, zinaonesha gari hilo lilionekana katika geti la kutokea likiwa eneo la mwanga mkali uliowezesha kulitambua usajili wake. Dereva wa gari hilo alikuwa amevalia kofia aina ya kapelo akitoka kwenye gari hilo kwa ajili ya kulipia ushuru wa maegesho.
Taarifa zinadai, Juni 3 mwaka huu, siku moja tangu alipofanyiwa ukatili huo, binti huyo alikwenda kutoa taarifa katika kituo cha Polisi-dawati la jinsia na watoto, jijini Mwanza. Alisikilizwa kisha kupelekwa moja ya hospitali kubwa jijini hapo kwa uchunguzi.
Katika uchunguzi huo uliofanywa na daktari (jina tunalihifadhi), alibaini mwanafunzi huyo wa mwaka wa kwanza aliingiliwa kinyume na maumbile.
Taarifa zinadai Jeshi la Polisi limetuma barua Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mwanza ili kupata usajili wa namba za gari hilo aina ya Toyota Crown nyeupe.
Aidha, tararibu za kupeleka simu ya mlalamikaji na vipande vya picha zilizopigwa na kamera za usalama zinaandaliwa kwa ajili ya kupelekwa kwenye maabara ya uchunguzi wa kisayansi.
Mwananchi
====
Pia, soma=> Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo
aah kama ni hivyo basi hili ni zengwee!Huyu kashindikana tokea nyumbani kumbe
mkuu nani kakwambia huyo RC ni mzeeNa hawa wazee kwanini na wao wasitulie kutwa kufata vitoto vya 2000
Why..!
Inawezekana ikawa ni kweli lakn huyo dogo pia ana tabia za kishenzi ndio maana akafanyiwa ushenziaah kama ni hivyo basi hili ni zengwee!
siasa za maji taka mbaya sana!
Ushahidi wa kwamba tukio hilo ilikuwa ni Mpango wa kusukwa unazidi kumwagwa, most likely the event was a planned and targeted sexpionage operation against the Regional Commissioner.Halafu kumbe siyo mara ya kwanza. Mwaka 2019 binti huyu huyu aliwahi kufungua kesi ya kubakwa na bodaboda wakati huo akiwa kidato cha nne. Sijaisoma huku hii vizuri lakini nadhani bodaboda alishinda! 😳
kafanyiwa lini tena? Si ndo amefanyiwa hiyo juzi na alipotoka hapo alienda Polisi kutoa taarifa. Au wewe mwenzetu una taarifa za ziada kuweza kuisaidiaa Polisi kukamilisha haraka uchunguzi.Huyo msichana nae njaa zitamuua. Alishafanyiwa kitendo haramu na bado akaendelea kuwasiliana na muhusika hadi kuonana naye tena.
Vyovyote iwavyo, nae ana makosa ya kuendekeza tamaa.
na majabali yanadondokaa tiiiiiiiii!Papuchi inadondosha miamba
na sasa hivi mtego wa kuwapata ni iphone, yaani hizi simu sijui zimewaloga nini mademu. Trend ya mademu kumiliki iphone imekua kubwa sana mpaka mabaamedi wana macho matatu kwa mshahara upi wanaolipwa. UKikuta demu hana kazi wala biashara ya maana lakini ana macho matatu ujue tu hakuna malinda hapoKuna mmoja namtambua ni mdogo wa binti flan nayemjua ni wapare.
Anasoma Mwenge Kaskazini huko Kilimanjaro.
Kajuana na mwarabu ana pesa zake imagine kakubali kupelekwa hadi Dar kakodiwa mpaka hotel chumba.
Yule mwarabu na wenzake wawili walimpiga mtungo wa kwa mparange ,binti mpaka anarudi chuo akikohoa kidogo kaachia kimba.
Mpaka anakuja kupona akili ilimkaa sawa.
Hawa mabinti hawa tamaa hizi mbaya sana aisee.
Nanukuu:Ukipata Muda pitia kitu inaitwa Sexual Exploitation and Abuse especially ile course inayotolewa na International Code of Conduct Association - ICOCA...Kuna Gap kubwa sana kati ya mkuu wa Mkoa na Mwanafunzi.
View attachment 3014479
Mkuu issue sio kubakwa or consent, anal sex hairuhusiwi kisheria na kifungo ni miaka 20. So hata kama hajambaka ila kumuingilia kinyume tu ni kosa lenye kifungo tajwa hapo juu.Hilo litakuwa sio sahihi. Ushahidi huo hauna mashiko Mahakamani Hautoshi kumtia mtuhumiwa hatiani. Yapo mengi na muhimu ambayo yanahitajika ili ushahidi huo uliousema hapo juu uweze kukubalika na kuleta Logic mahakamani. e.g. ni kwa nini Binti (mtu mzima) asipige kelele ya kuomba msaada?, kwa nini alikubali kwenda ndani ya gari la mtuhumiwa kama sio hiari yake?, mwanafunzi(binti) usiku huo huko bar alifuata nini au alimfuata nani? kwa nini hakuwa na msindikizaji yeyote,? Je, hiyo ni mara yake ya kwanza kulawitiwa? (soma report ya Daktari alisemaje) n.k. n.k
Hiyo ni mojawapo ya mbinu za kuchafuana kisiasa.
(BTW: Mimi sio mwanasiasa na kamwe sijihusishi na siasa- siipendi kabisa kwani siasa ni Mchezo mchafu.)
Statutory rapping presumption.Mkuu issue sio kubakwa or consent, anal sex hairuhusiwi kisheria na kifungo ni miaka 20. So hata kama hajambaka ila kumuingilia kinyume tu ni kosa lenye kifungo tajwa hapo juu.
Kingine kubakwa sio lazima upige kelele hata mtu ku-take advantage of you kama kukuwekea madawa ya kulevya, kilevi, au kukutishia na silaha ili akuingilie bado ni rape tu.
Huyo ni mbakaji kwenye jicho la sheria na maadam forensic evidence ipo mahakama itaamua