MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Wanaume tunatafuta nafasi ili tule mademu, kwahiyo kupoteza nafasi kwasabb ya kula demu ni ushujaa. Hongera sana baharia Dkt. Yahaya Namwanda kwa kutuwakikisha vema.
Sawa sasa pesa imeenda kwahiyo atakula jeuri yake
 
Kuna mmoja namtambua ni mdogo wa binti flan nayemjua ni wapare.
Anasoma Mwenge Kaskazini huko Kilimanjaro.
Kajuana na mwarabu ana pesa zake imagine kakubali kupelekwa hadi Dar kakodiwa mpaka hotel chumba.
Yule mwarabu na wenzake wawili walimpiga mtungo wa kwa mparange ,binti mpaka anarudi chuo akikohoa kidogo kaachia kimba.
Mpaka anakuja kupona akili ilimkaa sawa.
Hawa mabinti hawa tamaa hizi mbaya sana aisee.
Yule Jamaa yangu Mmasai alimwuliza konda kipindi mabasi yanasafiri Usiku
"Ero! Iye Konda? Kwani iko mbaya ganyi kama mtu inakula mali yake?"
Konda bila kujua maana ya swali akasema "Oh Broo, Ni ruksa kabisa we andelea tu"
Kilichofuata ni watu/abiria kusema kwa kelele We, We, Wee acha, acha chakula uliyoruhusiwa sio-sio hiyo!
Mabinti wanakimbilia wasikokujua.
 
Mkuu issue sio kubakwa or consent, anal sex hairuhusiwi kisheria na kifungo ni miaka 20. So hata kama hajambaka ila kumuingilia kinyume tu ni kosa lenye kifungo tajwa hapo juu.

Kingine kubakwa sio lazima upige kelele hata mtu ku-take advantage of you kama kukuwekea madawa ya kulevya, kilevi, au kukutishia na silaha ili akuingilie bado ni rape tu.

Huyo ni mbakaji kwenye jicho la sheria na maadam forensic evidence ipo mahakama itaamua
Sheria inaadhibu na aliyetoa kinyeo
 
Nanukuu:
"Kuna Gap kubwa sana kati ya mkuu wa Mkoa na Mwanafunzi".
Mwanafunzi 21 yrs?? Hiyo ni misnomer. Huyo ni mtu mzima aliyeko masomoni.
Hao ICoCA wabainisha kwamba katika mahusiano ya Hiari kuna vyeo vinahusika? kwamba RC anaruhusiwa/anatakiwa ahusiane na mabinti wa kaliba gani?
Lakini hata hivyo kwani huyo binti hajafikisha umri wa ni Ruksa ku naniliu bila kuwa Sheria imekiukwa?
Huyo hajawa exploited bali ametumia uhuru wake binafsi kadri alivyopenda na hazuiliwi na yeyote including hao ICoCA.
Uzuri hata mamlaka yake ya uteuzi Haiwazi kama wewe na tayari amewajibishwa kupisha uchunguzi. Halafu Mkuu una Binti ? kama unae/o Pole nyingi zifikwe kwake/o kwani they are in wrong hands kama Baba au Mama.
 
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
Mmh
 
Huyo binti hakupiga kelele jambo ambalo linaashiria kulikuwepo na makubaliano
Sheria hairuhusu anal sex, so either way kama alibakwa au consent wote wanaenda jela miaka 20. Mbona Sheria ipo clear sielewi unachotetea.

Pia ukisoma gazeti unaambiwa kwa hofu ya walinzi wa mheshimiwa mtu anaogopa kupigwa hata risasi.
 
Back
Top Bottom