MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Kwaiyo unataka kusema RC hajatatua marinda mbona ushahidi uko wazi?
Huo ushahidi ulio wazi uko wapi mkuu? Kama ni ripoti ya daktari basi hiyo futa kabisa "Tupa kule" haina mashiko hata kidogo. Kwani daktari alisema huyo binti kalawitiwa? Soma hii hapa "Katika uchunguzi huo uliofanywa na daktari (jina tunalihifadhi), alibaini mwanafunzi huyo wa mwaka wa kwanza aliingiliwa kinyume na maumbile.
Je, huo ni ushahidi?? Kwani anal dildo haiwezi kufanya hilo? Je, unaweza kupata ushahidi wa kuthibitisha ilivyokuwa kabla na baada ya kuingiliwa kinyume na maumbile?? Huyo inawezekana alikuwa ni mzoefu.
Ripoti inatakayoweza kumbaini mhusika ni ile ya DNA test findings. Hiyo haitokaa itoke na ikitoka itasoma Negative.
 
Halafu kumbe siyo mara ya kwanza. Mwaka 2019 binti huyu huyu aliwahi kufungua kesi ya kubakwa na bodaboda wakati huo akiwa kidato cha nne. Sijaisoma huku hii vizuri lakini nadhani bodaboda alishinda! 😳
Soma Kesi Bodaboda hajashinda bali Ushahidi haukutosha kumhukumu mtuhumiwa kama mbakajai baada ya ushahidi kutokujitosheleza hivyo bodaboda akala Mvua saba kosa la Utekaji.
 
vijana hawana uwezo wa kumiliki iphone na kuhonga!
 
Halafu kumbe siyo mara ya kwanza. Mwaka 2019 binti huyu huyu aliwahi kufungua kesi ya kubakwa na bodaboda wakati huo akiwa kidato cha nne. Sijaisoma huku hii vizuri lakini nadhani bodaboda alishinda! 😳
Ushahidi wa kwamba tukio hilo ilikuwa ni Mpango wa kusukwa unazidi kumwagwa, most likely the event was a planned and targeted sexpionage operation against the Regional Commissioner.
 
Huyo msichana nae njaa zitamuua. Alishafanyiwa kitendo haramu na bado akaendelea kuwasiliana na muhusika hadi kuonana naye tena.

Vyovyote iwavyo, nae ana makosa ya kuendekeza tamaa.
kafanyiwa lini tena? Si ndo amefanyiwa hiyo juzi na alipotoka hapo alienda Polisi kutoa taarifa. Au wewe mwenzetu una taarifa za ziada kuweza kuisaidiaa Polisi kukamilisha haraka uchunguzi.
 
na sasa hivi mtego wa kuwapata ni iphone, yaani hizi simu sijui zimewaloga nini mademu. Trend ya mademu kumiliki iphone imekua kubwa sana mpaka mabaamedi wana macho matatu kwa mshahara upi wanaolipwa. UKikuta demu hana kazi wala biashara ya maana lakini ana macho matatu ujue tu hakuna malinda hapo
 
Ukipata Muda pitia kitu inaitwa Sexual Exploitation and Abuse especially ile course inayotolewa na International Code of Conduct Association - ICOCA...Kuna Gap kubwa sana kati ya mkuu wa Mkoa na Mwanafunzi.

View attachment 3014479
Nanukuu:
"Kuna Gap kubwa sana kati ya mkuu wa Mkoa na Mwanafunzi".
Mwanafunzi 21 yrs?? Hiyo ni misnomer. Huyo ni mtu mzima aliyeko masomoni.
Hao ICoCA wabainisha kwamba katika mahusiano ya Hiari kuna vyeo vinahusika? kwamba RC anaruhusiwa/anatakiwa ahusiane na mabinti wa kaliba gani?
Lakini hata hivyo kwani huyo binti hajafikisha umri wa ni Ruksa ku naniliu bila kuwa Sheria imekiukwa?
Huyo hajawa exploited bali ametumia uhuru wake binafsi kadri alivyopenda na hazuiliwi na yeyote including hao ICoCA.
 
Kuna "Clip" niliiona siku za nyuma kidogo, alikuwa anaongea na Maaskari akiwasisitiza kusali, tena akiwaambia ni amri siyo ombi, nachelea kuamini kama ni yeye aliyefanya hilo, kweli shetani anajua kuaibisha Watu..
 
Mkuu issue sio kubakwa or consent, anal sex hairuhusiwi kisheria na kifungo ni miaka 20. So hata kama hajambaka ila kumuingilia kinyume tu ni kosa lenye kifungo tajwa hapo juu.

Kingine kubakwa sio lazima upige kelele hata mtu ku-take advantage of you kama kukuwekea madawa ya kulevya, kilevi, au kukutishia na silaha ili akuingilie bado ni rape tu.

Huyo ni mbakaji kwenye jicho la sheria na maadam forensic evidence ipo mahakama itaamua
 
Statutory rapping presumption.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…