MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Mtu una miaka 21. Unalala na wanaume saizi ya baba yako na kuacha vijana wa rika lako.
Hayo ndo malipo.

Na hii ipo sana kwa wanafunzi wa vyuo. Mnaacha kutafuta vijana wenzenu, msomane, muelewane kisha mpalilie penzi likue hadi uchumba na ndoa. Nyinyi mnadharau vijana wenzenu kisa hawajajipata na kukimbilia wazee.
Mkuu hao vijana unaowasema ndio wengi huongoza kwa tabia hizo chafu aise tembea uone hasa ukanda wa pwani.
 
Back
Top Bottom