MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

shauri la RC Kulawiti Mwanafunzi tangu tarehe 04 June 2024. limeshika hatamu naona RC ameamua kutumia watu kumhonga binti ili asitishe kesi,

Taratibu zote zilikuwa zimekamilika zikiwemo za Kuchukua maelezo ya mlalamikaji,uchunguzi wa kitabibu kutoka hospitali , kuchukua footage za CCTV kutoka eneo husika na Vielelezo vingine.

Ghafla binti akaanza kushawishiwa apapokee million 50 ili aaachane na shauri husika.

Serikali na vyombo vya dola Mwanza vimeshindwa kujua hii siyo kesi ya Madai ni kesi ya serious ya Jinai.

Mlalamikaji ni Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani na Binti ni Shahidi tu.

Kwa sababu hiyo,Sanaa zingine zozote za kutoa rushwa ili kufuta kesi ni Kashifa mpya kwa serikali na vyombo vyake vya usalama.

Kwanini viongozi wetu wanakosa maadili kiasi hiki ??
 
Nimesoma taaria za huyo jamaa mfupi kumlawiti mwanafunzi wa SAUT nimejiuliza sana kwanini hajakamatwa hadi sasa , mbona matukio kama hayo wakifanya watu wa kawaida hata saa moja halifiki anakua mikononi mwa polisi?

Ina maana huko Tanzania ukiwa mteule wa Rais uko juu ya Sheria?

Ndio maana watu wanataka Katiba Mpya, inawezekanaje mkuu wa mkoa anafir...kabinti ambacho ni kama mwanaye wa kumzaa na bado anakalia ofisi za umma.

Nimekasirishwa sana na ukitaka kujua hamna nia ya kumchukulia hatua taarifa ya Polisi inayoelezea waziwazi jinsi alivyomla 0713 mtoto wa watu imeanikwa hadharani japo ni classified document , inasambaa kama moto huko mitandaoni lakini sioni press release ya Ikulu ya utenguzi hadi sasa hivi.

Polisi waache kuogopa wateule wamkamate na kumweka ndani mara moja ili iwe fundisho kwa wakware wengine kama yeye.

SHENZY Kabisa.
 
Mkuu ni Tabora au simiyu?
Mbona wanasema ni simiyu

1D04FDE5-D6A0-4348-94CD-B61EB698ECE1.jpeg
 
Huyo binti alikuwa ni Mpenzi wake ama ilikuwa one night stand?

Je ni wapenzi wa ngapi wanafanya ngono kinyume na Maumbile na haiwi big issue?

Iweje mambo ya faragha yavuje, ina maana Kuna mtu alikuwa anawarekodi?
 
Mkuu hii Habari mpaka Polisi na kwenye magazeti sasa Kwann wanafuta?
 
Huyo binti alikuwa ni Mpenzi wake ama ilikuwa one night stand?

Je ni wapenzi wa ngapi wanafanya ngono kinyume na Maumbile na haiwi big issue?

Iweje mambo ya faragha yavuje, ina maana Kuna mtu alikuwa anawarekodi?
Huko tktk inasemekana kila mwanamke mwenye tKo ana hamasisha aliwe jicho,kutwa kulitingisha kulinesanesa vurugu tupu

Ova
 
Back
Top Bottom