Nimesoma taaria za huyo jamaa mfupi kumlawiti mwanafunzi wa SAUT nimejiuliza sana kwanini hajakamatwa hadi sasa , mbona matukio kama hayo wakifanya watu wa kawaida hata saa moja halifiki anakua mikononi mwa polisi? inamaana huko Tanzania ukiwa mteule wa Rais uko juu ya Sheria? ndiomaana watu wanataka Katiba Mpya , inawezekanaje mkuu wa mkoa anafir...kabinti ambacho ni kama mwanaye wa kumzaa na bado anakalia ofisi za umma, nimekasirishwa sana na ukitaka kujua hamna nia ya kumchukulia hatua taarifa ya Polisi inayoelezea waziwazi jinsi alivyomla 0713 mtoto wa watu imeanikwa hadharani japo ni classified document , inasambaa kama moto huko mitandaoni lakini sioni press release ya Ikulu ya utenguzi hadi sasahivi. Polisi waache kuogopa wateule wamkamate na kumweka ndani mara moja ili iwe fundisho kwa wakware wengine kama yeye,SHENZY Kabisa.