Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi 100% Mkuu.Ukishajijua una title fulani sasa hivi ni kuwa makini sana, watu wanategeshwa ukijichanganya imekula kwako.
Ni wa Kanda ya Ziwa ila wanamficha kwakuwa pia ni Rafiki wa Mamlaka Kuu.. Polisi wameshachunguza na Kumbaini.Rc wa mkoa gani?
Unaakili kuliko mtoa madaNi tuhuma tu,Tusubiri majibu ya upelelezi kaka yetu mpendwa Genta
tulia andika Habari iliyokamilika Ndio nini sasa hapo? Mkoa gani?Mkuu wa Mkoa ( RC ) adaiwa Kulawiti.
Kwa msioujua vyema Kiswahili maana ya Kulawiti ni Kuingilia Mtu kinyume na Maumbile yake.
Habari Kamili ipo katika Gazeti la MWANANCHI la Leo.
Imeshajulikana ni Mkuu wa Mkoa gani na tayari Polisi huko Kanda ya Ziwa wameshamjua ila Wakubwa wanataka Kumlinda.
Jamaa hatuliii akaandika vzuri anakurupuka asubuhi asubuhi hatulizi kichwa chakeUnaakili kuliko mtoa mada
Geita, Mwanza, Simiyu, Shinyanga, lagers au Mara?Ni wa Kanda ya Ziwa ila wanamficha kwakuwa pia ni Rafiki wa Mamlaka Kuu.. Polisi wameshachunguza na Kumbaini.
HahahaaHiki chuo ulichofuzu SAUT kina laana. Mara madem kuanika picha za utupu, mara kulawitiwa madem.
Sina Akili ndiyo maana wewe mwenye Akili kwa kujua sina Aki.i bado umekuja Kuusoma Uzi wa nisiye na Akili. Hongera.Unaakili kuliko mtoa mada
Wanaume wa 'Magomeni kwa Macheni' hucheka kama Wewe hivi.Hahahaa
Hapana tuliza akili yako uandike vitu kamili acha kukurupuka sawa dogo?Sina Akili ndiyo maana Wewe mwenye Akili kwa kujua sina Aki.i bado umekuja Kuusoma Uzi wa nisiye na Akili. Hongera.
Gazeti la MWANANCHI walioleta hiyo Habari wamemtaja huyo RC na huo Mkoa? Idiot.tulia andika Habari iliyokamilika Ndio nini sasa hapo? Mkoa gani?
mmmmh kwani kasoma ? Mbona hata kuandika kwake ni kwa kukurupuka?Hiki chuo ulichofuzu SAUT kina laana. Mara madem kuanika picha za utupu, mara kulawitiwa madem. Mara kutoa reject mapopoma yaliyokubuhu kama wewe.