Nanukuu :"Sheria hairuhusu anal sex, so either way kama alibakwa au consent wote wanaenda jela miaka 20. Mbona Sheria ipo clear sielewi unachotetea".
Siwatetei au simtetei RC bali Sheria ni Lazima iweze kuthibitika kukiukwa na Haki ionekane kutendeka.
Sasa hapo mbona inawezekana kabisa mahakama ikalitupilia mbali shauri hilo na kumtaka Mlalamikaji (binti)akamlete aliyemwingilia kinyume na maumbile kwani RC sio mhusika na Binti mwanafunzi kwa uthibitisho uliopatikana wa daktari, ataonekana ni mzoefu wa kitendo hiko na hilo peke yake linaweza kumtia hatiani(kama hiyo sheria iliyotajwa ndivyo inavyosema na kutafsiriwa).