mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Hilo ni tukio la aibu.Ukitaka kujua wanawake ni wanafiki ni kupitia hili tukio, mpaka muda huu sijawasikia wale sijui LHRC Wala wale wanaojiita jumuiya ya wanawake wa CCM nchi ina watu wajinga sana hii
Kuhusu la RC wa Simiyu sioni Cha ajabu maana CCM ndio michezo Yao Kuna matukio ya ajabu mengi tu wameshafanya na wataendelea kuyafanya
Maana hata binti naye ameshiriki kwa 50% kwa sababu ya tamaa zake japo mkuu wa mkoa naye amekosea.
Muda huo angekuwa yuko chuo au hostel anajisomea hilo lisingetokea.