ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Ni vigu sana kutokeaUna hoja /maswali ya Msingi sana hata mimi pia nashindwa kuelewa IMEWEZEKANAJE HILO KUTOKEA eneo la wazi hivyo🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vigu sana kutokeaUna hoja /maswali ya Msingi sana hata mimi pia nashindwa kuelewa IMEWEZEKANAJE HILO KUTOKEA eneo la wazi hivyo🤔
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila nchi hii ina vituko, usishangae kutokana na uzoefu aliouonyesha next week tukasoma gazetini;
DR. NAWANDA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI WA TIGO TANZANIA.
Hapo vipi?
😁Kupalilia..Mtu una miaka 21. Unalala na wanaume saizi ya baba yako na kuacha vijana wa rika lako.
Hayo ndo malipo.
Na hii ipo sana kwa wanafunzi wa vyuo. Mnaacha kutafuta vijana wenzenu, msomane, muelewane kisha mpalilie penzi likue hadi uchumba na ndoa. Nyinyi mnadharau vijana wenzenu kisa hawajajipata na kukimbilia wazee.
Kwani kulawiti mnatumiaga dakika ngapi mkuu!Sidhani kama alimlawiti humo garini, inawezekanaje kwa dakika 30 tu awe kaingia na kulawiti na kutoka. Mhm hii nami nakubali ni mipango ya kumuondoa kwenye U-RC tu.
Vijana wa siku hizi nani kakuambia mapenzi ni kujuana kwanza mapenzi nikwenda ona bint wa watu afu unampenda unamtolea mahari sio kupalilla penzi kama unavyo sema, kwani yeye shambaMtu una miaka 21. Unalala na wanaume saizi ya baba yako na kuacha vijana wa rika lako.
Hayo ndo malipo.
Na hii ipo sana kwa wanafunzi wa vyuo. Mnaacha kutafuta vijana wenzenu, msomane, muelewane kisha mpalilie penzi likue hadi uchumba na ndoa. Nyinyi mnadharau vijana wenzenu kisa hawajajipata na kukimbilia wazee.
Kwa mujibu wa stori, ni kwamba alilazimishwa. Hiyo lazima ilikuwa haraka sana kama ya bata au kuku? Yani haiingii akilini.Kwani kulawiti mnatumiaga dakika ngapi mkuu!
I was sure lazima ndio zakeHuyo jamaa yukogo hivo toka anafundisha ni mjinga mnoo alikuwa anakamata watu maksudi
Watu kama hao mshipa wa aibu ulishakatika siku nyingi...Yaani kuna tuhuma nyingine mbaya sana ebu fikiria mtu kama huyu anatenguliwa kwa tuhuma za ulawiti sasa siku anaenda kutembea nyumbani kwao anapokewa na Mama yake na dada zake na mabinti zake au wa ndugu zake hivi anawatazama vipi!
Sitashangaa kama aliyemnasa vibao Warioba leo hii ni Mkuu wa mkoa.Ila nchi hii ina vituko, usishangae kutokana na uzoefu aliouonyesha next week tukasoma gazetini;
DR. NAWANDA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI WA TIGO TANZANIA.
Hapo vipi?
Sasa mtu kama huyu elimu yake imemsaidia nini?Naanza kuamini sasa kwamba ngozi nyeusi ina laana
Huenda alianza maisha kama mkaanga samaki, wakaanga samaki wanadesturi ya kuwageuzageuza samaki wao, hivi samaki ukimkaanga upande mmoja hatanoga?Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
Yeah amedhalilisha taasisi.Huyu jamaa hata kama kasingiziwa still uadilifu wake kama mkuu wa mkoa uko at zero point,mkuu wa mkoa unalewa bar za kawaida,unatombea dem kwenye gari bila kujali status yako kama mteule wa RAIS!!?,Hata kama wamemtengenezea wamepitia kwenye udhaifu wake.
😃😃😃😃😃😃Ni jambo la kusikitisha sanaAlimlewesha kwanza ndio akawa anajipimia mwenyewe, rafiki zake binti walipoona mwenzao ananuka nnya ndio wakamwambia awahi polisi.
Naona binti alikatiwa pochi la nguvu ndio akafuta mashtaka.
Hata Kama kafuta SSH hataki ujinga.
Huo mchezo ukishafanya kwa mmoja utaendelea kufanya Kwa kila unayekutana naeKwani yule kidampa wake alompangia Mbezi makonde hatoshi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endapo hii unayosema ina ukweli bado pande zote wana makosa.Huyo kahaba ndogo alitoa mwenyewe ila wenzake walimstukia ananuka mavi ndiyo wakamjaza upepo akashitaki ili avute mpunga mrefu kwa huyo ama hii unayosema ina u