Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Hao wanaofanya vetting nao ni binadamu tu hivyo huko nako kuna connection.Nakubaliana na wewe.
Maana kuna wakati mwingine utashangaa kiongozi mkubwa anafanya maamuzi ya ajabu ambayo hata mtoto wa darasa la 3 anashangaa.
Nadhani mambo ya kufanyia vetting viongozi yaliishia enzi za Rais Mwinyi na Mkapa baada ya hapo ni mambo ya connection ndio yanafanya kazi zaidi