vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Nimesoma iki kitabu nimecheka mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeisoma hiyo Barua Kwa Makini,lakini akili yangu ya Kawaida naona Kuna Kitu kimejificha nyuma yake.Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
NiSakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
Hilo jambo halina hilo, ulaya na amerika kaskazini ndio wamejaa huko mpaka wamehalalisha kabisa.Tunaosali siku mbili kabla ya Jumapili,tunapendaTigo sana
Hapa RC alijichanganya sana, huyu binti ni much know tangu kitambo. Ila sasa ndio haiwezi kuondoa kosa lililopo. RC hayuko smart kabisa kujiingiza kwa binti wa kariba hii. RC anauwezo na fursa za kutafuna mabinti waliokomaa, wanaojitambua na walio pisi kali kabisa. Pole yake sana.Huyo mwanachuo anaesemekana kamlawiti ashahusishwa kwenye kesi kama hiyo
Inawezekana ikawa kweli, mwamba kajichanganya sana.Si wanasema mkuu alitoa million 50 kumziba mdomo bint!!!Hii ishu kuna mtu yupo nyuma na Bint alitengenezwa kama chambo
Mbona mashoga wanaofanya kwa ridhaa yao mnawasakamaaa? Km ikiwa tendo lifanyike kwa makubaliano?Kwani kitendo hicho kilitokea wapi?. Kama walikubaliana na kwenda Hotelini kuna mbaya gani?. Kwani alimlazimisha ?.
Sheria za nchi zinazuia kinyume na maumbile, na kimsingi sheria hii imepitwa na wakati.Kwani kitendo hicho kilitokea wapi?. Kama walikubaliana na kwenda Hotelini kuna mbaya gani?. Kwani alimlazimisha ?.
Kwani yule kidampa wake alompangia Mbezi makonde hatoshi?Mke wake wa Kwanza alikimbia kwasababu ya michezo yake haramu....huyu jamaa yupo tayari kufa ilimradi afanye huo mchezo
Ndivyo inavyoonekanaHapo anakula msuba au
Ova
Akiwa kahaba mzoefu ni ruhusa kupakuliwa tope?
🙄🙄🙄Mke wake wa Kwanza alikimbia kwasababu ya michezo yake haramu....huyu jamaa yupo tayari kufa ilimradi afanye huo mchezo
We jamaa jau sanaYupi sasa pumbavu zake sana,
raji au rwaji
au wote raji na rwaji?
Critical thinkingHili suala linaweza kuwa mchezo wa wabaya wake. Kwanza nimeona barua mtandaoni yenye mpaka sahihi ya dole gumba la huyo mwanachuo akiomba kuondoa kesi kwa madai hataki kutumika kisiasa kwani ana safari ndefu.
Sehemu ya tukio ni bar au night club ambako watu wakiweno wanachuo wanajiuza. Pili siku hizi wanawake wengi wanalawitiwa kwa hiyari yao hivyo hata kana vipimo vinaonyesha huyo mwanachuo amellawitiwa inaweza kuwa anelawitiwa ba jamaa mwingine halafu akanpakazia huyo mkuu wa mkoa unless vipimo vionyeshe shahawa ni za huyo RC binti anaweza kulipwa pesa na wabaya wa RC kisha akalawitiwa kwingine kwa makubaliano halqfu akaenda kujichimeka kwa RC hasa kama RC ni mpenda vimwana then baada ya sex ya kawaida akaibua madai kuwa aliyemlawiti ni huyo RC. Simtetei RC ila kwa nchi hii kila kitu kinawezekana.
Hivi mtu mzima alawitiwe kimyakimya.
Kana wanawake wote wangepimwa kwa lazima kama wanalawitiwa majibu yangeonyesha hata waheshimiwa wengi wanafanya huo mchezo kwa hiyari. Ila katika kulaani kila mtu ameshupaza shingo.