MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Sakata la Polisi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini sana sana.
212E7D4B-6175-4C1A-B0EF-BA67F505E928.jpeg
 
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza ndani ya gari.

Uchunguzi umebaini jina la usajili wa namba ya simu iliyotajwa na mwanafunzi huyo, linafanana na la mmoja wa wakuu wa mikoa nchini.

Mbali na usajili huo ambao hufanywa kwa kutumia Kitambulisho cha Taifa kuonyesha jina linalofanana na la mteule huyo, lakini jina hilohilo pia ndilo linaonekana katika tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa huo na akaunti ya Instagram.

Lakini jina hilo pia limetokea katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa mwaka 2022 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, ingawa jina linaloonekana kwenye usajili wa simu na lile linaloonekana katika akaunti ya mkuu wa mkoa huyo kwenye mtandao wa Instagram, linatofautiana kwa jina la katikati.

Tukio hilo linalodaiwa kutokea Juni 2, 2024 katika eneo la maegesho la moja ya baa mashuhuri jijini Mwanza, tayari limeanza kusambaa katika mitandao ya kijamii hususan X (zamani Twitter) ingawa aliyetoa taarifa hiyo, hakumtaja mhusika kwa jina.

Uchunguzi wa gazeti hili kutoka vyanzo mbalimbali jijini Mwanza, Dodoma na Dar es Salaam, vimedokeza uchunguzi wa suala hilo unafanywa kwa usiri mkubwa, kwani mtuhumiwa ni mtu mzito serikalini ambaye mpaka jana jioni alikuwa hajatiwa mbaroni.

Kulingana na taarifa kutoka vyanzo hivyo, tayari polisi walichukua sampuli kwa ajili ya kupima vinasaba (DNA) kutoka katika nguo alizokuwa amevaa mwanafunzi huyo kama zitaoana na mtuhumiwa na kuzituma kwa Mkemia Mkuu wa Serikali.

Taarifa zimeeleza tukio hilo linaendelea kuchunguzwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza na tayari taarifa za awali zimetumwa kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai ambaye alipotafutwa hakupatikana.

Gazeti hili limemtafuta mmoja wa maofisa Ofisi ya Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai ambaye hakutaka kutajwa jina lake amesema:“Taarifa za tukio hilo aulizwe Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza.”
Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Wilbrod Mtafungwa alipotafutwa amesema: “Nipo msibani kwa sasa hivi.’’ (ilikua saa 10 jioni)

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Gideon Msuya alipotafutwa ikiwa ni saa 12:40 jioni kuhusu suala hilo, hakukubali wala kukanusha juu ya uwepo wa tukio hilo zaidi amesema: “Yapo mambo anayoongea kamanda kama kamanda.”

Alipoulizwa na gazeti hili kuwa yeye ndiye ameachiwa ofisi, Kamanda Msuya alisisitiza atafutwe kamanda Mutafungwa kwani ndiye hutoa taarifa.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda alipotafutwa kuzungumzia suala hilo kutokana na yeye kuwa mwenyekiti wa usalama mkoani humo amesema: “Mimi sijaletewa kwenye dawati langu hilo tukio la mwanafunzi na huyo mwanafunzi hajaniletea hilo suala labda niwasiliane na polisi.”

Hivi ndivyo uhusiano ulivyoanza
Uchunguzi wa gazeti hili kwa kuegemea vyanzo mbalimbali jijini Mwanza, Dar es Salaam na Dodoma, zinaeleza mtuhumiwa huyo alianza uhusiano na mwanafunzi huyo mwenye miaka 21 Januari 2024 jijini Mwanza.

Siku hiyo walikutana katika tafrija ya siku ya kuzaliwa ambayo mtuhumiwa anatajwa ndiye alikuwa mgeni rasmi na hapo ndipo walipobadilishana simu na kuanzisha uhusiano na kuendelea kuwasiliana kwa simu mara kwa mara.
“Unajua huyu bosi ili kumu win (kumpata) huyu dada alianza kumtumia fedha za matumizi ya hapa na pale. Sasa ile mwezi Februari 2024 kama utakumbuka kulikuwa na ziara ya Rais hapa Mwanza,” kimesema chanzo chetu.

Chanzo hicho kimedai siku hiyo kigogo huyo alikutana na dada huyo katika moja ya hoteli jijini Mwanza, ambapo katika hali ya kustaajabisha, alimuomba wafanye mapenzi kinyume cha maumbile, ombi ambalo dada huyo alilikataa.

Kigogo huyo inadaiwa aliendelea kumshawishi akubali kufanya naye mapenzi kinyume cha maumbile kwa ahadi kuwa angempa maisha mazuri na kumuahidi angekuwa anampa kiasi kisichopungua Sh500,000 kila mwezi.

Tukio lenyewe lilivyokuwa
Chanzo kimoja kutoka ofisi ya kigogo huyo, kimedai siku ya tukio, mtuhumiwa alitumia kila mbinu kumshawishi mwanafunzi huyo wakutane jijini Mwanza, ambapo walikutana katika baa hiyo mashuhuri na kupata vinywaji.

“Sasa baada ya muda huyu jamaa akamuambia wakazungumze kwenye gari maana kuna mambo ya muhimu anataka kumweleza. Huko sasa jamaa ndio akashinikiza wafanye kinyume cha maumbile,” kimedokeza chanzo hicho.

Chanzo kingine kutoka moja ya ofisi nyeti za Serikali jijini Dodoma, kimedai baada ya kwenda kwenye gari lililokuwa limeegeshwa eneo la maegesho ya klabu hiyo, ndipo kigogo huyo alipotimiza haja zake.

“Tunavyoambiwa sio kwamba huyo mwanafunzi aliridhia, hapana. Huyu jamaa alimtisha sana na kwa vile huyu dada alikuwa anamjua kama mheshimiwa, alijua ni watu wanatembea na silaha na walinzi hivyo akafanya aliyoyafanya”.

“Inaonekana huyu ni mchezo wake baada ya kumshawishi sana huyu dada wa watu akamgomea. Ndio naona akaja na hiyo plan B (mpango wa pili) wa kumwita kwenye gari akamvua nguo kwa nguvu na kumlawiti,” kimesema chanzo kingine.

Chanzo kingine kilidai kigogo huyo na gari alilolitumia vilinaswa na kamera za usalama zilizofungwa katika klabu hiyo tangu gari hiyo inaingia, kuegeshwa na kutoka usiku wa saa sita na namba za usajili zilisomeka vizuri.

Kamera zinaonesha ilipofika saa 2:48 usiku, binti huyo alionekana akiingia katika gari hilo na saa 3:21 usiku, takribani dakika 30 kupita, mlalamikaji alionekana akitoka kwenye gari.

Saa 6:24 usiku, zinaonesha gari hilo lilionekana katika geti la kutokea likiwa eneo la mwanga mkali uliowezesha kulitambua usajili wake. Dereva wa gari hilo alikuwa amevalia kofia aina ya kapelo akitoka kwenye gari hilo kwa ajili ya kulipia ushuru wa maegesho.

Taarifa zinadai, Juni 3 mwaka huu, siku moja tangu alipofanyiwa ukatili huo, binti huyo alikwenda kutoa taarifa katika kituo cha Polisi-dawati la jinsia na watoto, jijini Mwanza. Alisikilizwa kisha kupelekwa moja ya hospitali kubwa jijini hapo kwa uchunguzi.

Katika uchunguzi huo uliofanywa na daktari (jina tunalihifadhi), alibaini mwanafunzi huyo wa mwaka wa kwanza aliingiliwa kinyume na maumbile.
Taarifa zinadai Jeshi la Polisi limetuma barua Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mwanza ili kupata usajili wa namba za gari hilo aina ya Toyota Crown nyeupe.

Aidha, tararibu za kupeleka simu ya mlalamikaji na vipande vya picha zilizopigwa na kamera za usalama zinaandaliwa kwa ajili ya kupelekwa kwenye maabara ya uchunguzi wa kisayansi.

Mwananchi

Pia, soma=>
Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo
Halafu humu mtandaoni kutwa nzima Watu wamekuwa wakimsema vibaya member mmoja aitwaye Cocastic kwa kitendo Cha yeye kujiweka wazi kuhusu sexuality yake wakati wahusika wa mambo hayo wapo wengi sana huko huko Serikalini, Tena wengine wapo katika nyadhifa za juu kabisa za Maamuzi. Ila wakiwa majukwaani au hapa mtandaoni wanakuwa wanafiki wakubwa kwa kuwasema vibaya washirika wa mapenzi ya jinsia moja.

Papa Francis wa Kanisa Katoliki kumbe yupo sahihi kutetea msimamo wake kuhusu suala hili. Alivyosema kwamba 'wanaopinga waraka wake' waelimishwe kwani wataelewa pole pole kuhusu suala hili kumbe tayari alishaona mbali, ukweli Sasa pole pole unaanza kudhihirika.

But, all in all, pole Sana kwa huyo Mkuu wa Mkoa aliyekumbwa na kadhia hii, SEXPIONAGE is real! Utawala wa Urusi pamoja na washirika wake wanatumia Sana mbinu hii ya SEXPIONAGE ili kuwaangusha baadhi ya Viongozi wa Serikali au hata Watu binafsi ambao ni maarufu wanaoonekana kuwa ni kikwaxo kwa maslahi binafsi ya mtawala fulani fulani.
 
Uchunguzi utafanyika na mwisho wa siku kesi itakufa kifo Cha kawaida tuu kwa sababu ni kawaida kwa ccm kufichiana maovu lakini huyo binti na yeye amepata alichokua anakitafuta mtu amesha onesha makucha yake wazi lakini bado anamfata tuu njaa zake zimemponza lakini mara zote umaskini wa watanzania ndio mtaji wao wa kufanya upuuzi wao
 
Nao wamekuwa 'too cheap' hawana ethics na class ndio maana wanategeka kirahisi.
Sure

Unajua ni Wanaume wachache wenye uwezo wa kuruka kiunzi cha kukataa free pussy hasa hivi vibinti vidogo, si unajua vingi tunaamini vitakuwa Kei zao hazijaenda mileage kubwa n.k

But ni too risky kufanya mahusiano kwenye Dunia hii ya Utandawazi aisee

Unaweza kukuta unashughulika, kumbe binti yupo busy kurekodi koneksheni 😜
 
Ukitaka kujua wanawake ni wanafiki ni kupitia hili tukio, mpaka muda huu sijawasikia wale sijui LHRC Wala wale wanaojiita jumuiya ya wanawake wa CCM nchi ina watu wajinga sana hii

Kuhusu la RC wa Simiyu sioni Cha ajabu maana CCM ndio michezo Yao Kuna matukio ya ajabu mengi tu wameshafanya na wataendelea kuyafanya
 
Second year na third year vyuoni, muwe mnawapa tahadhari wadogo zenu wanapokuja vyuoni. Matukio mengi yanawakumba sana kwasababu ya kutaka kujiachia sana

Watafiti fuatilieni matokeo ya first year mtabaini jambo na huenda mkapata cha kushauri kwa wanafuzi wanaomaliza form six

Na mwisho kabisa, ndani ya CCM "inasemakana" kumajaa sana vijana mashoga ambao kwa kiasi kikubwa "waume zao" ni vigogo walioko huko ambao ndio pia huwapeleka huko.

Binti unapotongozwa na kigogo kutoka huko, jiandae kisaikolojia. Huyu binti inaonesha toka walipokutana walikuwa wanashiriki tendo kwa njia ya kawaida ila jamaa pengine kutokana na kuzoea michezo hiyo au kwasababu ya story wanazopiga na vigogo wenzake kuhusu mambo ya kinyume na maumbile, yeye akaona njia ya kawaida hanogewi

Mtetezi wa unyama anapogeuka kuwa unyama wenyewe hiyo tunaiitaje?
 
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza ndani ya gari.

Uchunguzi umebaini jina la usajili wa namba ya simu iliyotajwa na mwanafunzi huyo, linafanana na la mmoja wa wakuu wa mikoa nchini.

Mbali na usajili huo ambao hufanywa kwa kutumia Kitambulisho cha Taifa kuonyesha jina linalofanana na la mteule huyo, lakini jina hilohilo pia ndilo linaonekana katika tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa huo na akaunti ya Instagram.

Lakini jina hilo pia limetokea katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa mwaka 2022 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, ingawa jina linaloonekana kwenye usajili wa simu na lile linaloonekana katika akaunti ya mkuu wa mkoa huyo kwenye mtandao wa Instagram, linatofautiana kwa jina la katikati.

Tukio hilo linalodaiwa kutokea Juni 2, 2024 katika eneo la maegesho la moja ya baa mashuhuri jijini Mwanza, tayari limeanza kusambaa katika mitandao ya kijamii hususan X (zamani Twitter) ingawa aliyetoa taarifa hiyo, hakumtaja mhusika kwa jina.

Uchunguzi wa gazeti hili kutoka vyanzo mbalimbali jijini Mwanza, Dodoma na Dar es Salaam, vimedokeza uchunguzi wa suala hilo unafanywa kwa usiri mkubwa, kwani mtuhumiwa ni mtu mzito serikalini ambaye mpaka jana jioni alikuwa hajatiwa mbaroni.

Kulingana na taarifa kutoka vyanzo hivyo, tayari polisi walichukua sampuli kwa ajili ya kupima vinasaba (DNA) kutoka katika nguo alizokuwa amevaa mwanafunzi huyo kama zitaoana na mtuhumiwa na kuzituma kwa Mkemia Mkuu wa Serikali.

Taarifa zimeeleza tukio hilo linaendelea kuchunguzwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza na tayari taarifa za awali zimetumwa kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai ambaye alipotafutwa hakupatikana.

Gazeti hili limemtafuta mmoja wa maofisa Ofisi ya Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai ambaye hakutaka kutajwa jina lake amesema:“Taarifa za tukio hilo aulizwe Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza.”
Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Wilbrod Mtafungwa alipotafutwa amesema: “Nipo msibani kwa sasa hivi.’’ (ilikua saa 10 jioni)

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Gideon Msuya alipotafutwa ikiwa ni saa 12:40 jioni kuhusu suala hilo, hakukubali wala kukanusha juu ya uwepo wa tukio hilo zaidi amesema: “Yapo mambo anayoongea kamanda kama kamanda.”

Alipoulizwa na gazeti hili kuwa yeye ndiye ameachiwa ofisi, Kamanda Msuya alisisitiza atafutwe kamanda Mutafungwa kwani ndiye hutoa taarifa.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda alipotafutwa kuzungumzia suala hilo kutokana na yeye kuwa mwenyekiti wa usalama mkoani humo amesema: “Mimi sijaletewa kwenye dawati langu hilo tukio la mwanafunzi na huyo mwanafunzi hajaniletea hilo suala labda niwasiliane na polisi.”

Hivi ndivyo uhusiano ulivyoanza
Uchunguzi wa gazeti hili kwa kuegemea vyanzo mbalimbali jijini Mwanza, Dar es Salaam na Dodoma, zinaeleza mtuhumiwa huyo alianza uhusiano na mwanafunzi huyo mwenye miaka 21 Januari 2024 jijini Mwanza.

Siku hiyo walikutana katika tafrija ya siku ya kuzaliwa ambayo mtuhumiwa anatajwa ndiye alikuwa mgeni rasmi na hapo ndipo walipobadilishana simu na kuanzisha uhusiano na kuendelea kuwasiliana kwa simu mara kwa mara.
“Unajua huyu bosi ili kumu win (kumpata) huyu dada alianza kumtumia fedha za matumizi ya hapa na pale. Sasa ile mwezi Februari 2024 kama utakumbuka kulikuwa na ziara ya Rais hapa Mwanza,” kimesema chanzo chetu.

Chanzo hicho kimedai siku hiyo kigogo huyo alikutana na dada huyo katika moja ya hoteli jijini Mwanza, ambapo katika hali ya kustaajabisha, alimuomba wafanye mapenzi kinyume cha maumbile, ombi ambalo dada huyo alilikataa.

Kigogo huyo inadaiwa aliendelea kumshawishi akubali kufanya naye mapenzi kinyume cha maumbile kwa ahadi kuwa angempa maisha mazuri na kumuahidi angekuwa anampa kiasi kisichopungua Sh500,000 kila mwezi.

Tukio lenyewe lilivyokuwa
Chanzo kimoja kutoka ofisi ya kigogo huyo, kimedai siku ya tukio, mtuhumiwa alitumia kila mbinu kumshawishi mwanafunzi huyo wakutane jijini Mwanza, ambapo walikutana katika baa hiyo mashuhuri na kupata vinywaji.

“Sasa baada ya muda huyu jamaa akamuambia wakazungumze kwenye gari maana kuna mambo ya muhimu anataka kumweleza. Huko sasa jamaa ndio akashinikiza wafanye kinyume cha maumbile,” kimedokeza chanzo hicho.

Chanzo kingine kutoka moja ya ofisi nyeti za Serikali jijini Dodoma, kimedai baada ya kwenda kwenye gari lililokuwa limeegeshwa eneo la maegesho ya klabu hiyo, ndipo kigogo huyo alipotimiza haja zake.

“Tunavyoambiwa sio kwamba huyo mwanafunzi aliridhia, hapana. Huyu jamaa alimtisha sana na kwa vile huyu dada alikuwa anamjua kama mheshimiwa, alijua ni watu wanatembea na silaha na walinzi hivyo akafanya aliyoyafanya”.

“Inaonekana huyu ni mchezo wake baada ya kumshawishi sana huyu dada wa watu akamgomea. Ndio naona akaja na hiyo plan B (mpango wa pili) wa kumwita kwenye gari akamvua nguo kwa nguvu na kumlawiti,” kimesema chanzo kingine.

Chanzo kingine kilidai kigogo huyo na gari alilolitumia vilinaswa na kamera za usalama zilizofungwa katika klabu hiyo tangu gari hiyo inaingia, kuegeshwa na kutoka usiku wa saa sita na namba za usajili zilisomeka vizuri.

Kamera zinaonesha ilipofika saa 2:48 usiku, binti huyo alionekana akiingia katika gari hilo na saa 3:21 usiku, takribani dakika 30 kupita, mlalamikaji alionekana akitoka kwenye gari.

Saa 6:24 usiku, zinaonesha gari hilo lilionekana katika geti la kutokea likiwa eneo la mwanga mkali uliowezesha kulitambua usajili wake. Dereva wa gari hilo alikuwa amevalia kofia aina ya kapelo akitoka kwenye gari hilo kwa ajili ya kulipia ushuru wa maegesho.

Taarifa zinadai, Juni 3 mwaka huu, siku moja tangu alipofanyiwa ukatili huo, binti huyo alikwenda kutoa taarifa katika kituo cha Polisi-dawati la jinsia na watoto, jijini Mwanza. Alisikilizwa kisha kupelekwa moja ya hospitali kubwa jijini hapo kwa uchunguzi.

Katika uchunguzi huo uliofanywa na daktari (jina tunalihifadhi), alibaini mwanafunzi huyo wa mwaka wa kwanza aliingiliwa kinyume na maumbile.
Taarifa zinadai Jeshi la Polisi limetuma barua Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mwanza ili kupata usajili wa namba za gari hilo aina ya Toyota Crown nyeupe.

Aidha, tararibu za kupeleka simu ya mlalamikaji na vipande vya picha zilizopigwa na kamera za usalama zinaandaliwa kwa ajili ya kupelekwa kwenye maabara ya uchunguzi wa kisayansi.

Mwananchi

Pia, soma=>
Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo
Hatuna waandishi wa habari barani Africa,tuna tuna watu wanao chimbua maisha ya masikini na kuwasifia watu maarufu,mashuhuri na wanatajwa kuwa ni VIGOGO.

Kwani muathirica kauawa kiasi kwamba hamuwezi kumfikia akawapa taarifa halisi?
Kafichwa ili msionane naye au ni mbinu za huyo mwanachuo kumchafua huyo mnayeita KIGOGO?

Aliyefanya tukio hilo angelikuwa ni masikini mmoja wa huko Nanyamba nina imani vinavyojiita vyombo vya habari vyote vingelikuwa na jina la mtuhumiwa lkn pia na la muathirika.

Kwako Mayalla!
 
Vibinti vinatamaa kweli

Haya sasa ashafukuliwa mtaro

Rc katenguliwa,nini kitabadilika kwake

Ova
Mpwaaa sauti karibia asilimja 40 ya mabinti wanafira.....

Nililaaakikazi pale newmwanza Hotel ksma mwexi nkawa naenda sehemu tukakamata kama v3 tuko wawili tukagongaaaa kutoaa nyu....

kamoja sitosahaù nagongaa bkstyl kawaida akaahisi nimelewa akashiskaa shemdede anatakaa kuingiza cehemu hatarishi hata shetan anaikimbiaaa wwewee nkaamwambia no pls kakadai huko anasikia raha saidi vya saut vyote

Nkakaojoa kamaoja kaakachukua vyake nikaita kalikokabaki receptiiohuku jamaa anahemea kingine 😂

Nikiwa nagongaaa nacho kalienda straight naomba nifir hukooo nasikia rahaa sana nkamwambia usiwaze hukumbelre ntakupa raha zote...nkakojoa viwili kalikuwa Manaton kiasi

Kumaliza kugonga tukapgiana simunajamaa twende restaurant kutoka mlangoni nakuta jamaa anatoka na kale nilichoanza kukagaongaa nikachokaaa 🔥.
Hawanamaana wale
 
Sure

Unajua ni Wanaume wachache wenye uwezo wa kuruka kiunzi cha kukataa free pussy hasa hivi vibinti vidogo, si unajua vingi tunaamini vitakuwa Kei zao hazijaenda mileage kubwa n.k

But ni too risky kufanya mahusiano kwenye Dunia hii ya Utandawazi aisee

Unaweza kukuta unashughulika, kumbe binti yupo busy kurekodi koneksheni 😜
Nlikuwa nawaonaga wanafunzi wa cbe dodoma wanavyojipitisha
Na kujilengesha kwa waheshimiwa
Vimezibuliwa kweli kweli

Ova
 
Back
Top Bottom