Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Dah! Hapo mkuu umenifunga/umenidhibiti kwa kusema "forensic evidence ipo mahakama itaamua"Mkuu issue sio kubakwa or consent, anal sex hairuhusiwi kisheria na kifungo ni miaka 20. So hata kama hajambaka ila kumuingilia kinyume tu ni kosa lenye kifungo tajwa hapo juu.
Kingine kubakwa sio lazima upige kelele hata mtu ku-take advantage of you kama kukuwekea madawa ya kulevya, kilevi, au kukutishia na silaha ili akuingilie bado ni rape tu.
Huyo ni mbakaji kwenye jicho la sheria na maadam forensic evidence ipo mahakama itaamua
Ukimaanisha kwamba uthibitisho wa Kisayansi umeshapatikana upo. Lakini kama bado Serikali ina-fumble kuutafuta huo uthibitisho wa Kisayansi, Je, hiyo Scientific proof isipopatikana itakuwaje? Manake Mahakama Haitoweza kuamua sio?