Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Sio mara ya kwanza .... Alifirimbwa Tena kati ya January na Feb mwaka huu na huyohuyo... Baada ya birthday party yake ambayo mheshimiwa alikuwa mgeni rasmi. Imehadithiwa humuhumuAlipimwa, taarifa inasema "... ameingiliwa kinyume na maumbile kwa kuingiziwa kitu butu katika sehemu yake ya haja kubwa...." .
Inaonyesha kwamba binti siyo mzoefu, inawezekana ikawa ndio mara yake ya kwanza.