MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Naye Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda alipotafutwa kuzungumzia suala hilo kutokana na yeye kuwa mwenyekiti wa usalama mkoani humo amesema: “Mimi sijaletewa kwenye dawati langu hilo tukio la mwanafunzi na huyo mwanafunzi hajaniletea hilo suala labda niwasiliane na polisi.”
Mtuhumiwa ni Rc alafu anaulizwa kuhusu hiyo kesi , mtuhumiwa anaulizwaje hilo? Mbona kama wrong side , mtuhumiwa hatakiwi kushughulika na lolote kuhusiana na kesi inayomhusu
 
Basi inaelekea rc kitambo alikuwa anaomba nnya mtoto akawa hatowi,rc utakuta akicheki mtoto kamlia vingi 😄 +kumgharamikia

Ova
Of course ulichoandika ndiyo report ya polisi imefanya same narration kwamba RC alianza kitambo ku demand hizo issue since walivyokutana mara ya kwanza kwenye birthday mwezi April huko
 
Huyo msichana nae njaa zitamuua. Alishafanyiwa kitendo haramu na bado akaendelea kuwasiliana na muhusika hadi kuonana naye tena.

Vyovyote iwavyo, nae ana makosa ya kuendekeza tamaa.
Sawa, lakini namsifu kusimamia hoja yake kwamba hataki kuliwa tigo hivyo baada ya kuliwa tigo kinguvu amechukua hatua. Hii ina maana alikuwa tayari kuliwa kikawaida wether ana njaa au laa, jambo ambalo kwa wasichana wa sasa wa chuo na changamoto za maisha zinawafanya wanyanduliwe tuu.

Tukirudi kwa huyu mheshimiwa kiukweli amejitakia mwenyewe na yuko so low kwenye hili eneo hahaaaaa.....Hivi demu ambaye umemkamia mpaka uko tayari kumpa 500,0000/= monthly unamuanzaje na kumuomba mtandoa pendwa?? Yaani unakaribishwa viziri kibarazani halafu siku hiyo hiyo unataka kuingia mpaka master bedroom??? Mwanakulitafutaaaa.....
 
Of course ulichoandika ndiyo report ya polisi imefanya same narration kwamba RC alianza kitambo ku demand hizo issue since walivyokutana mara ya kwanza kwenye birthday mwezi April huko
Hawa wasichana wana tamaa sana,tena hivyi vya chuo ukiwapa
Pesa chochote unawafanyia

Ova
 
Nanukuu :"Sheria hairuhusu anal sex, so either way kama alibakwa au consent wote wanaenda jela miaka 20. Mbona Sheria ipo clear sielewi unachotetea".
Siwatetei au simtetei RC bali Sheria ni Lazima iweze kuthibitika kukiukwa na Haki ionekane kutendeka.
Sasa hapo mbona inawezekana kabisa mahakama ikalitupilia mbali shauri hilo na kumtaka Mlalamikaji (binti)akamlete aliyemwingilia kinyume na maumbile kwani RC sio mhusika na Binti mwanafunzi kwa uthibitisho uliopatikana wa daktari, ataonekana ni mzoefu wa kitendo hiko na hilo peke yake linaweza kumtia hatiani(kama hiyo sheria iliyotajwa ndivyo inavyosema na kutafsiriwa).
Sasa si ndio maana kuna forensic investigations ili kupata ukweli wa mambo. Kama manii zake zilionekana humo anachomokaje?
 
Mtu una miaka 21. Unalala na wanaume saizi ya baba yako na kuacha vijana wa rika lako.
Hayo ndo malipo.

Na hii ipo sana kwa wanafunzi wa vyuo. Mnaacha kutafuta vijana wenzenu, msomane, muelewane kisha mpalilie penzi likue hadi uchumba na ndoa. Nyinyi mnadharau vijana wenzenu kisa hawajajipata na kukimbilia wazee.
Wewe ungeweza? Acha kuwalaumu bana.
 
Back
Top Bottom