Mda wa ndugu zetu wahzabe kuwatafuna nyani wote waliokuzunguka

Mda wa ndugu zetu wahzabe kuwatafuna nyani wote waliokuzunguka

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,613
Reaction score
13,543
Leo sitoi salamu ,ila uwepo wenu wanajf umezingatiwa popote ulipo .

Wapo watanzania wenzetu wahadzabe nchini mwetu/ mwao, hawa ndugu zetu ni fisi tu hawamtafuni kwa sababu wanasema anakula watu , hivyo tofauti na fisi ,mnyama yoyoete akipita kwenye kumi na nane zao lazima atafunwe.

Na kwao kwenye swala kuoa ,hakuna cha pesa bali tu ni Nyani mkubwa na debe la asali tu, hivyo wenda kwa tamaduni zao Kwao Nyani anaheshimika sana .

kuna manyani mengi yamemzunguka mtukufu, hao hujua leo tu sio kesho ,hayajui kwamba kuna kifo na kadhalika , niombe serikali ya JMT chini ya amiri jeshi mkuu , kuleta familia 20 za ndugu zetu Wahadzabe wayatungue na kuyatafuna ,vinginevyo yatamaliza mazao ya wakulima katika Taifa hili.

Memea haioti kisa manyani haya, hata ikiota hatuvuni , hata tukivuna bado yananyemelea mavuno yetu ,serrikali tusaidieni tafadhali , hawa manyani yatatumaliza

Natanguliza shukrani kwa amiri jeshi mkuu wa nchi.
 
Nyani wenyewe kwanzia ujana wao mpk uzee wao wanakula mema ya msitu na wanalindana mpk uzeee na akifaa mmoja wao wanazikana Kifahari ktk sehemu tulizuu🤔🤔🤔
 
Nyani hawa hawa wa kijani? Hao washaweka ufalme wao ni unstopable
 
Back
Top Bottom