Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,610
- 13,270
Kuna KENZY na shemeji BICHWA KOMWE - pia😂😂😂hapa huwezi kumwona mzabzab na ndugu zake
Wana nyuzi zao speshelii
Kuna KENZY na shemeji BICHWA KOMWE - pia😂😂😂hapa huwezi kumwona mzabzab na ndugu zake
Kwani mkuu ipo tofauti gani kwa ulicho kiongea , kwani wewe hu nyani anaetumalizia mazao yetu wakulima?Nilijua unaongelea nyani kumbe unawaongelea Nyani...
Na ujumbe uwafikie wahadzabe
Asante sana mkuu ubalikiwe
Ata mimi nilidhani hivo 😂Kwahyo chadema ndo wahadzabe auNilijua unaongelea nyani kumbe unawaongelea Nyani...
Na ujumbe uwafikie wahadzabe
Kodi zizingatiwe😂😂😂Ata mimi nilidhani hivo 😂Kwahyo chadema ndo wahadzabe au
Walau katika wengi huwa naona una akili sana.....Asante sana mkuu ubalikiwe
Manyani wa kijani wanafanya lolote watakalo
Nimecheka kijinga mkuu sikujua hili, barikiwaTanzania Nyani Ni Kijani Tu
Namjua mkuu changamoto ilikuwa kung'amua shamba...Kwani mkuu ipo tofauti gani kwa ulicho kiongea , kwani wewe hu nyani anaetumalizia mazao yetu wakulima?
Barikiwa mkuu, huu ni uzi wa baraka ,na Mungu akatuinueWalau katika wengi huwa naona una akili sana.....
#TUTAKUWEPO👊👊
Unakosea sana mkuu ,wenda hata shule yako haikusadii, muite Mbunge msukuma wa ccm ,yupo na akili kubwa kuliko wewe mkuu .japo ni la sabaAta mimi nilidhani hivo 😂Kwahyo chadema ndo wahadzabe au
🤔hapo kwenye elimu mkuu wangu umenikosea elimu yangu inanisaidia sanaUnakosea sana mkuu ,wenda hata shule yako haikusadii, muite Mbunge msukuma wa ccm ,yupo na akili kubwa kuliko wewe mkuu .japo ni la saba
huyo ni tumbiliHivi David Kafulira ni nani au tumbili? Mie sijui kutofautisha hawa Wanyama.
Sema uchawa unakusaidia sana ,leo tz elimu imekua geresha tu, upo na uwezo gani GPA gani ni geresha tu, ila nikiwa mtoto wa Maghufuli fulsa nje nje,🤔hapo kwenye elimu mkuu wangu umenikosea elimu yangu inanisaidia sana
Sina chama chief sio mccm wala chadema babu, mimi nipo nasubiri siku jeshi litakapochukua nchiSema uchawa unakusaidia sana ,leo tz elimu imekua geresha tu, upo na uwezo gani GPA gani ni geresha tu, ila nikiwa mtoto wa Maghufuli fulsa nje nje,
Leo mtoto wa Waziri wa fedha wenda yupo na ukwasi kuliko machawa wote wa ccm kama wabisha leta mjadala