Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,050 Reaction score 45,202 May 13, 2025 #41 Nelly said: Walau katika wengi huwa naona una akili sana..... #TUTAKUWEPO👊👊 Click to expand... Asante sana mkuu ubalikiwe sana
Nelly said: Walau katika wengi huwa naona una akili sana..... #TUTAKUWEPO👊👊 Click to expand... Asante sana mkuu ubalikiwe sana
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,625 Reaction score 89,385 May 14, 2025 #42 Nelly said: Kuna KENZY na shemeji BICHWA KOMWE - pia😂😂😂 Wana nyuzi zao speshelii Click to expand... Mh!
Nelly said: Kuna KENZY na shemeji BICHWA KOMWE - pia😂😂😂 Wana nyuzi zao speshelii Click to expand... Mh!
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,479 Reaction score 4,974 May 14, 2025 #43 Mzee Rufiji said: Kwma una D huwezi kuelewa Click to expand... Kabisa, kama huna D mbili huwezi kuelewa kuwa kwa hakika Sasa chadema chakavu wanachanganyikiwa kwa Kasi ya 5G
Mzee Rufiji said: Kwma una D huwezi kuelewa Click to expand... Kabisa, kama huna D mbili huwezi kuelewa kuwa kwa hakika Sasa chadema chakavu wanachanganyikiwa kwa Kasi ya 5G
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,479 Reaction score 4,974 May 14, 2025 #44 Nomadix said: Zinatembea codes tu bichwa maji hawawezi kukuelewa! Click to expand... Mh, nyumbu bwana. Kwahiyo Kuna bonge la codes zinatembea hapo, au sio? Ngoja nikae kimya tu!!!
Nomadix said: Zinatembea codes tu bichwa maji hawawezi kukuelewa! Click to expand... Mh, nyumbu bwana. Kwahiyo Kuna bonge la codes zinatembea hapo, au sio? Ngoja nikae kimya tu!!!