Mdada kaniomba nimunulie Kiatu, bei yake laki na nusu! Bora ninnue ndama

Ndama anakula mpaka aje awe ng'ombe ushatumia vilaki vingine vingi tu wakati hio laki huenda ikakupatia what your heart desires (ingawa nashauri isiwe long term sababu hio laki na nusu huenda ikabadilika ikawa milioni kadhaa kwa mwezi)
 
Inaonekana umegadhabika mno
 
Jamaa una akili sana umeukwepa upotevu wa hela hiyo 150,000 bora ununue vifaranga vya sasso
 
Wewe endelea kupiga nyeto tu mapenzi huyawezi
 
Mwanaume atakuaje mpenzi wako rasmi, bila kukuomba tendo, mfanye ndo muwe wapenzi? kwenye tendo, si ke na me wote wanapata starehe, au anaefaidika ni mmoja ambae ni me, ukiombwa tendo, au ukiona viashiria vya kuombwa tendo na mwanaume ambae si mpenzi wako na haumtaki, si unakataa tu, kwani atakubaka? mbona it's very simple. Kelsea
 
Mnakutana huko, mnatuletea mabandiko humu...
 
Ni mshamba tayari....Mambo ya pm kuyaleta huku...
Hafai hata kuoa...atatoa Siri za ndani zote
Ila mmezidi aisee, yaani mtu akiomba namba tuu, jioni
Huna chakula
Huna kodi
Simu kioo kimepasuka
Bibi mgonjwa
Mdogo mke wa mjomba kafariki
Aaaaargh!
 
Uwe unawatokea mademu wanaotembea peku au wanaovaa simple (tukandambili) alafu kabla hujamtokea unakuwa unam-set kwa kumsifia kwamba yupo simple hana mambo mengi kama wanawake wengine ila wakati yote yanaendelea na wewe uwe simple uone kama utazimiwa
 
Ila mmezidi aisee, yaani mtu akiomba namba tuu, jioni
Huna chakula
Huna kodi
Simu kioo kimepasuka
Bibi mgonjwa
Mdogo mke wa mjomba kafariki
Aaaaargh!
Si unakausha tu,kuombwa lazima mkuu
 
Yaani unanunua pochi manyoya kwa laki na hamsini? No fuking way, nunua hiyo mbuzi, ita ndugu zako fanya barbecue na vinywaji vya kutosha mfurahie maisha.
 
Ni boya pekee anayetoa 150,000 ya kiatu kwa malaya tena aliyekutana naye mtandaoni chini ya week, asiyekuwa na mipango naye wala future yoyote.

Hiyo pesa unaweza weks kwa ajili ya simple date lakini sio kiatu. You'll be a big giant pig for that stupidity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…