Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo Ni Mawazo,,Fikra na Mtazamo WakoNi boya pekee anayetoa 150,000 ya kiatu kwa malaya tena aliyekutana naye mtandaoni chini ya week, asiyekuwa na mipango naye wala future yoyote.
Hiyo pesa unaweza weks kwa ajili ya simple date lakini sio kiatu. You'll be a big giant pig for that stupidity.
Kuna baadhi kweli wanapitia hardships, yaani ukiona maisha magumu kwa Me, ujue hata wadada yanawachapa balaa.Wanawake sijui siku hizi wamekuwaje, sometimes I wonder kama sisi wanaume tunatongoza binadamu wa kawaida au majini, coz siku hizi almost kila demu anaomba hela Xi Jinping Stratopause
Siku hizi hamna kusema sikutaki
Nikuomba vya juu ya uwezo
Anajikataa mwenyewe..😅
Mdada anaepitia hardships anajulikana tu, kuna kitu tu kitakwambia ndani yako kuwa huyu mdada anapitia hali ngumu kiuchumi, ngoja nimsaidie.Kuna baadhi kweli wanapitia hardships, yaani ukiona maisha magumu kwa Me, ujue hata wadada yanawachapa balaa.
Mwanamke kumpenda mwanaune kindaki ndaki ni mchakato mrefu.Mwambie wewe SIO baba yake mzazi na Wala Hana muda na wewe epuka sana mademu wa mitandaoni talk to them in really life halafu YEYE hakupendi Wala Nina HUYO ni GOLDIGGER
Upo sahihi kabisa kiongozi!!Mdada anaepitia hardships anajulikana tu, kuna kitu tu kitakwambia ndani yako kuwa huyu mdada anapitia hali ngumu kiuchumi, ngoja nimsaidie.
Wadada wengi wanaopiga mizinga wanaomba hela kwa ajili ya kumkomoa mwanaume, si kwamba ana shida kweli, utakuta umemtongoza, kaona hujamvutia kimapenzi, so anakuwa haoni ugumu kukuomba hela, maana anajua hata ukiondoka hana hasara
Ungejua wadada wengi wanaomba omba hela walivyo wachoyo 😁 yeye anakuomba elf 5, ila yeye akiwa na million 2 isio na kazi, hawezi waza kukupa wewe tsh 200 ERoni Kelsea
Nashukuru mkuu nishapata mchemsho hapa kwa mama muuzaUzi ufungwe.... Agiza mchemsho kwa bill yangu.
Mkuu nahitahij vifaranga vya sasoJamaa una akili sana umeukwepa upotevu wa hela hiyo 150,000 bora ununue vifaranga vya sasso
Hehehe ndama ni ndama na kiatu ni mwanamke kama vip kanunue ndama tu uwe unamchapa nao mpaka alie moooooo achana na mwanamke we si bahili.
Nina vya Black mamba tuMkuu nahitahij vifaranga vya saso
Chinja ule mwenyeweNina vya Black mamba tu