Wanaume si ndio inabidi wawafuaye huko walipo au ?Sasa si bora mtu akae mwanaume ajiongeze mwenyewe. Nashangaa suala la kwenda kuomba yani.
Au kiba100...!Wakitoka hapo, utasikia wanaponda...Wanaume suruali!!!
Eeeh. Unakaa mezani mwanaume anatuma pombe tu. Ila kuombaaa.Wanaume si ndio inabidi wawafuaye huko walipo au ?
Kwakweli wapambane tu na hali zaoBiashara huria na holela ama sio! Wapambane na hali zao
Yote sawa tu. Ni sawa na nyanya supermarket zina price tag kwa mluguru gengeni bei mpaka uulize.Eeeh. Unakaa mezani mwanaume anatuma pombe tu. Ila kuombaaa.
Bora kuna tofauti umeonaYote sawa tu. Ni sawa na nyanya supermarket zina price tag kwa mluguru gengeni bei mpaka uulize.
Kuna mmoja aliomba au kuonyesha nia nimnunulie pombe. Nikamnunulia, akawa akiongea anachomeka maneno kadhaa ya Kiingereza nakuonyesha ni 'high class' huku akisema ameishi Nairobi. Maswali mawili matatu tayari ameloa...!!Au kiba100...!
green light sio usingejiongeza unahamwa na msonyooo kama honi ya treniii hahaKuna mmoja aliomba au kuonyesha nia nimnunulie pombe. Nikamnunulia, akawa akiongea anachomeka maneno kadhaa ya Kiingereza nakuonyesha ni 'high class' huku akisema ameishi Nairobi. Maswali mawili matatu tayari ameloa...!!
Angehama wala nisingejali.green light sio usingejiongeza unahamwa na msonyooo kama honi ya treniii haha
haha vibia bia huwa vinanitoka hivi havikwepeki otherwise uwe kauzu kweli kweli.Angehama wala nisingejali.
Nikiwa maeneo hayo sihitaji kuwinda, bora nibaki na Mwantumu wangu!
Inaonyesha huwa unawatungua...hahaaa
Kuna mmoja nilimnunulia halafu jamaa yake akatokea. Akajifanya hanijui..mkausho matata...!!!haha vibia bia huwa vinanitoka hivi havikwepeki otherwise uwe kauzu kweli kweli.